Taarifa ni muhimu ifafanue wagonjwa hao wanaishi maeneo gani na majina yao, itasaidia wananchi kuchukua tahadhari lakini sio kunyanyapaa. HII ni VITA sio LELEMAMA na tuachane na hizo ethics za kuficha siri, tazama muda mfupi tu social media Inaumbua.Taarifa itolewe rasmi na kwa wakati
Kama kuna mashirika ambayo nahisi yanahitaji kupitiwa na kasi ya upepo wa JPM ni NSSF na DAWASCO - wanyonge wanadhalilika sana kutokana na utendaji mbovu
Wakati wajapani wamemaliza Ujenzi daraja la Mfugale mazingira yalikuwa mwanana majani yaliyopandwa hapo yakipendeza - pita leo UTASHANGAA jamani hata kuhudumia mandhari hatuwezi? TANROADS au City? Mpo wapi au bado mnafanya mchakato wa Tenda?
Hivi mnapopakua tozo ya kupaki magari hata kwenye mahospitali hamuoni aibu? Mfano pale kwa Kariuki, hospitali sio yenu kwa nini mgonjwa afike na kulipa tozo ya paki kwa Jiji? Matibabu huchukua muda mrefu je hamna vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kuwatoza wagonjwa?
Habari za BOT kusimamisha TWIGABANCORP kwa nia ya kusimamia au kuifilisi ni habari zisizo njema kwa Wananchi hasa ikizingatiwa kuwa benki hiyo wateja wake wengi ni wajasiriamali wadogo. Tangazo la Governor wa BOT limechanganya watu wengi tazama wale ambao wana akaunti hapo na wanazitumia...
Hivi hawa wanaotengeneza bustani kona ya Nyerere Road na Mandela hawana habari kuwa Ujenzi wa madaraja hapo karibu unaanza? Hiyo miti na maua wanayopanda si itang'olewa tuu? Hii kweli kichekesho na ni jipu hili linafaa litumbuliwe
Ningekuwa mbunge ningetoa hoja binafsi kama ifuatavyo:
HATUA DHIDI YA MAJANGA YA BARABARANI: Kutokana na madereva wa vyombo vya moto kutobanwa na sheria kali, uzembe utaendelea nchini na tutazidi kuwapoteza ndugu zetu kutokana na ajali. Aidha ajali zinaathiri uchumi kutokana na ndugu wa...
Habari nyingi miaka na hasa siku za karibuni ni ajali na vifo vinavyotokana na ajali na sababu kubwa ni mwendo kasi. Hivi kwani waendesha magari wanakimbilia wapi? :A S 13:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.