Ni kweli mambo ya ujenzi yana involve mambo mengi tusilaumu maengineer maquantity surveyor lazima tuangalie na ubora wa nondo na cement je zilikuwa na ubora wa kutumika kwenye ujenzi?
kwani inawezekana msimamizi akafuata taratibu zote lakini kumbe nondo au cement hazina ubora
mi nilishawahi...
huu ni uongo na tunadanganywa hivi kwasababu ya uwezo wetu wa kufikiri biashara yeyote uanza kwa kuupatana bei kabla hamjaanza kufanya biashara umeletewa quotation na bei sio ile ulio patana kwa kwanini usiurize kabla hujanunua
swali je endapo Mramba atachaguliwa alafu akapatikana na hatia kabla hajamaliza kipindi chake cha ubunge je hawaoni kurudia uchaguzi itatugharimu pesa nyingi na huku tunararamika hatuna hela kwanini wasisubiri maamuzi ya mahakama wameliaangalia hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.