Recent content by CHEKEA

  1. C

    JF members awards (no cash money) only recognition..!

    Mi nipewe no 9,angalieni mwaka niliojiunga jf,halafu chek post au comments zangu,ukizingatia kila siku Niko online
  2. C

    Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    Duuuuuuh,paper ni tight sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    Hahahaaaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    Duuuuh,hata huku jf mpoo!!!!! Nilijua ni insta na fb tu,huku tuongeeni issue,sio hivo mzee Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    Ni kutokana na ukusanyaji hafifu wa mapato,ujue mfano pale mbagala kwa biashara zilizopo pale tu,zinaweza kuendesha mikoa kadhaa kama zitarasimishwa na kukusanywa ipasavyo,maafisa wa TRA ni wachache sana hali inayofanya mitaa kibao kushindwa kufika hasa hapa dar,wao ni kariakoo na posta tu...
  6. C

    Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    Kwa kuwa hao wote wana sifa basi mi nashauri waajiriwe wote halafu wasambazwe mitaani kukusanya kodi ktk vitengo mbalimbali,yaani nyumba kwa nyumba, Uchumi utakuwa sana na tutapata pesa za kutosha kuendeshea nchi,hata sisi watumishi wa umma wa sekta nyingine tuyalipwa vizuri jamani Sent using...
  7. C

    Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    Nawaombeni kama kuna mtu mwenye uwezo wa kupeleka haya maoni yangu kwa Mheshimiwa Rais afanye ampelekee Mimi nashauri hawa wote walioitwa kwa interview waajiriwe,nchi inawafanyakazi wachache sana wa TRA Ninashauri waajiriwe wote na wapelekwe mitaani,huku mitaani kuna biashara nyingi sana hasa...
  8. C

    Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Daaah pole sana mkuu,haina ushauri hiyo,ila ameonesha dharau kubwa sana Ni bora ungeshtukia wakati ashaliwa,lakini umeona akitongozwa,ukamwambia lakini akafanya,kwa dharau hiyo huyo mtoto wako mrudishe tu kwa wazazi wako na yeye mteme,maana sidhani kama utaweza kumwona ni wa kawaida Sent from...
  9. C

    Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

    Hakuna maandishi hapo,ni biti tu hilo, Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  10. C

    Wakristo Wenzangu Hivi Kumchezea Mungu Ndombolo, Sebene Na Kwaito Alituagiza?

    Daaah hiyo imekaa kiimani sana,ambapo wengi ktk hilo hawatumii akili,hata ukiwaambia watapaa bila ndege wanakubali,ila ukweli ni kuwa yesu na wafuasi wake,hawakukata mauno na kupiga mayowe kama wafanyavyo sasa,so wanapomnasibisha inashangaza sana,Nina clip hapa za mapambio nikizituma humu watu...
  11. C

    Serikali ya Kenya yaanza mazungumzo Dangote, wametenga dolla milioni 100 kuhamisha kiwanda toka TZ

    Viwanda nyumbani kwake kenya,huku kilikosea njia tu
  12. C

    Mgomo mkubwa waibuka Chuo Kikuu cha Kampala wakishinikiza wapewe mkopo

    Bila migomo hampati ela,gomeni vijana,hata sisi kaka zenu tulivijua viunga vya heslb kuliko venue za chuo
  13. C

    Sheikh Khalifa ammwagia data zaidi Rais Magufuli za wasomi waislamu

    Daaaah huyu shekh kama ananishawishi kumkubalia hivi anavyoweza kupangua hoja za watu,hasa ile ya kuwa kuwa wateule wengine hawana dini japo wanamajina ya kikristo,shekh akajibu kwa kuuliza,kuna nani hakuapa na kitabu cha dini??? Nani anisaidie CV ya huyu shekh jamani,yuko smart sana kutetea...
  14. C

    Halotel mtandao unazingua kwa Dar?

    Sasa mawimbi ya mitandao mingine kama airtel yanapitaje? Si wajifunze kwa wenzao?
  15. C

    Halotel mtandao unazingua kwa Dar?

    Tena mno,hasa maeneo ya ukonga,gongolamboto
Back
Top Bottom