We ibange, ibangi kweli yaani aibu yote ile ilomkumba ya EPA na RICHMOND dhan CCM waendelee kumueka 2, c kwa7bu hawawezi ila khofu yao CHADEMA, watakua washapata bonge la point, na km watamuweka LOWASA Ni udhaifu pia kwa CCM, Ila kwa upendeleo mwaka 2015; mgombea ni Mwanamke, nyie hamjajiuliza...