Recent content by Cheef Baroka

  1. C

    Nimesamehe lakini sitasahau

    Hahahaahahahahahahahahahahahahaha mku inaonyesha jinsi gani umeguswa na upuuzi wa huyu jamaa. Angekuwa karibu na wewe muda huu sijui ingekuaje?. Sema usisagau uwepo wa visa vya kutunga
  2. C

    Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

    Ndio sijakuelewa na ndo mana naendelea kukusumbua ili nitoke na kitu. Sipo hapa kurumbana. Nachotaka kufaham ni nguvu ya ubani Kwenye maombi ili ikiwezekana nianze kutumia. Au nije pm nn?
  3. C

    Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

    Jukumu la mtu mwenye mwenye imani ni kumuelimisha asie na imani ili aamini kama yeye. Sasa mnatakiwa kutuelimisha kunako ubani ili nasisi tuanze kuuwasha mana tuna mashida kibao Mungu anajifanya hatuoni kumbe kuna njia rahisi yakumfanya mungu atuelewe
  4. C

    Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

    Ko Ubani unatumika kama Sadaka ? Na je tukichukua mazao, mifugo au pesa tukachoma moto na kufanya maombi mungu anapendezwa nazo?
  5. C

    Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

    Maelezo yako yamejirudia . Nachotaka kufahamu ni mambo 3 1: Ubani ni nini? (Ni magome ya miti na ni mti gani/ ni matunda / ni mizizi nk..) 2: Kuna mahusiano gani kati ya ubani na maombi/dua.? (Mana kama ni moshi je tukichoma mti mwingine wowote wenye moshi ni sawa? Na je ni kiomba bila ubani...
  6. C

    Rasmi nawaondoa simba kwenye mbio za ubingwa 2021-2022

    Unatumiaga bia gani mkuu?
  7. C

    Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani Dodoma wanastahili pongezi

    Wakuu katika kupambania vibarua vyetu ili kutekeleza ilani ya chama tawala , nimejikuta niko Dodoma, sio mara ya kwanza kuja Dom kikazi ispokuwa mara kadhaa nilipokuwa nikija nilikuwa nakuja katikati ya wiki nakuwa bze na kilichonileta then nageuka, na hata nilipokuwa nafkia ni pembeni mwa mji...
  8. C

    Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

    Nipo serous kaka nahitaji kuelimika. Sema dogo anahisi nina kejeli imani yake . Siwezi vuka mpaka huo
  9. C

    Serikali inapoteza mapato kwa Feitoto

    Uahaona wapi mchezaji akapewa tuzo kwa mechi moja?
  10. C

    Rasmi nawaondoa simba kwenye mbio za ubingwa 2021-2022

    Lete takwimu za mechi ya jana kaka afu nambie ubovu wao ulikuwa wapi? Ukishindwa kupata takwimu ingia azam TV au kwa Shafi Dauda.)
  11. C

    Serikali inapoteza mapato kwa Feitoto

    Shida kaka unaongea mpira mwenzako anaongea Mapenzi binafsi. Hapo mtageuka Waha.
  12. C

    Serikali inapoteza mapato kwa Feitoto

    Ko kipindi una mfananisha ulikuwa hujui kama hawachezi nafasi sawa?.. au hujaelewa tulipoanzia mkuu.
  13. C

    Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

    Hahahahaha ndo maana. Huenda hata huyu dogo LIKUD ndo ilikuwa zake . Mana hata anavyoelezea apa bado yupo steem
Back
Top Bottom