Recent content by Cheche

  1. C

    Malecela and Dr. Salim - Into Oblivion?

    Kinaitwa "Relations Between Africans and African Americans: Misconceptions, Myths and Realities." Kingine ni "Relations Between Africans, African Americans and Afro-Caribbeans: Tensions, Indifference and Harmony."
  2. C

    Malecela and Dr. Salim - Into Oblivion?

    Inasemekana walifichwa katika kibanda cha nyasi Kigamboni. Katika kitabu cha "Nyerere and Africa: End of an Era," kuna chapter - Chapter 13 - "Coup Attempts Against Nyerere" kuhusu mambo hayo lakini hakuna details ni wapi wlifichwa. Ni vizuri kuna Watanzania wanaondika vitabu kuhusu mambo ya...
  3. C

    Malecela and Dr. Salim - Into Oblivion?

    Ni nani waliojaribu kupindua serikali mwaka ule 1964? Victor Mkello na Christopher Kasanga Tumbo, also cited in "Nyerere and Africa: End of an Era."
  4. C

    Malecela and Dr. Salim - Into Oblivion?

    Wanasiasa waliotajwa hapa JamboForums.com kwamba walikuwa in marafiki au wafwasi wa Oscar Kmbona - Fundikira, Malecela, Lusinde, Kamaliza, Mkapa na wengineo - hakuna ushahidi wowote unao onyesha kwamba walihusika na kesi ya uhaini, jaribio la mapinduzi October 1969, pamoja na Kambona? Swali...
  5. C

  6. C

    Malecela and Dr. Salim - Into Oblivion?

    Mbona wanasiasa wengi waliotajwa kwamba walikuwa ni wafwasi au marafiki wa Kambona (Malecela, Lusinde, Mkapa, na wengineo) hawakuhusika na coup attempt iliyoongozwa na Kambona? Except Bibi Titi na Michael Kamaliza. Na ni kwanini Kambona alitaka kupindua serikali ya Mwalimu na kutegemea kwamba...
Back
Top Bottom