Recent content by che taji

  1. C

    JamiiForums Tanzania Pikipiki zinauzwa (boxer cc150 na sunlg cc125)

    Nataka hiyo boxer kama tutaafikiana
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mjadala mkali kati ya wasomi wa Jamiiforums na Shy land

    Wasomi wana mchango mkubwa sana kulingana na viwango na aina zao za Elimu,wako mashambani,maofisini,viwandani na kwingineko ambapo huchangia michango ya hali na mali ili kusukuma gurudumu la maendeleo. Anayekataa na kupuuza mila nzuri za jamii yake inatokana na kasumba na kukosa kujiamini na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mjadala mkali kati ya wasomi wa Jamiiforums na Shy land

    kimsingi elimu inajianisha katika makundi mawili makuu kulingana na mfumo wa ujifunzaji ambayo ni mfumo rasmi na ule usio rasmi. Hakuna elimu iliyo muhimu zaidi ya nyingine kwani kila moja ina matarajio na malengo ya kuwapa watu weledi wa kung'amua namna ya kubadilisha maisha ili yawe na tija...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Wabwia Unga Ikulu Dar es salaam

    Rais wangu pole sana! Sijui unalazimishwa au unapenda mwenyewe kuwa mtu wa kujishughulisha na matangazo ya huruma na ukarimu usio na tija.
Back
Top Bottom