Recent content by Che Nkapa

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

    Katiba ikiwa mpya halafu akili ni zile zile mbovu hakuna jambo litafanyika.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Odinga anataka Kuharibu amani ya Kenya na ya Ukanda mpo kimya ila yule wa Rwanda mlipaza sauti na kumshutumu Rais Kagame

    Naungana na ww, afuate sheria, asijetesa watu wasio na hatia kwa vurugu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Idara ya afya Wilaya ya Rombo imegeuka Kikosi kazi cha kumwaga Chanjo za UVIKO-19, kupika majina ya watu kuwa wamechanja

    Nilipewa offer ya kupata cheti cha UVIKO pasi na kuchanja
  4. C

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Ujenzi wa bwawa la Umeme ni mradi wa ovyo kabisa, tulipaswa kuimarisha Miradi ya Solar

    Labda anafanya biashara ya solar
  5. C

    JamiiForums Tanzania Moto Bandarini ni zoezi la kupima askari na wafanyakazi juu ya utayari wa majanga

    May be watu wanataka kufanya upigaji
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

    Genius wa siasa za Tanzania
  7. C

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

    Mama hatumii nguvu kuwakamata, anawarushia mtama wanaingia wenyewe kwenye tundu.🤣🤣🤣
  8. C

    JamiiForums Tanzania Rais wapunguzie kina Mbowe asali, wamepagawa

    🤣🤣🤣
  9. C

    JamiiForums Tanzania TP Mazembe hamna kitu, yapokea kipigo kingine ikiwa nyumbani kwao

    Mazembe wamekuwa  wazembe
  10. C

    JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    Hakuna siku watu mnaacha kulalamika. Mama piga kazi tuko nyuma yako
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwa niliyoshuhudia leo. Jamani tuwaheshimu sana Hawa watu. Tusije pata dhambi za bure tu

    Nahisi hawakuwa na backup ya power, Tanesco waliposepa na wao wakakata
  12. C

    JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Tofauti ya Vijana wa kiume wa Kinondoni, Ilala na Temeke

    Vijana wa ILALA na KINO ndo huwa wanawatia doa wanaume wa Dar. TMK kama kawa kiumenga...Tandika, Mtoni, Mikoroshini, Mwembeyanga nk
Back
Top Bottom