Recent content by Che Eddo

  1. C

    Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

    Kiomekuwa cha wazi siku hizi wakati wa Nyerere alikuwa akiweki wazi wala hamtangazi, afu hizi kazi si ni sawa tu na kazi zingine
  2. C

    Mo Dewji usiponipa Majibu ya Kuridhisha juu ya haya Maswali yangu nakuwashia Moto na utaondoka Simba SC Mwenyewe

    WANACHAMA WENYE 51% WAMETOWA SHILINGI NGAPI? MSIPIGE TU KELELE NA NYINYI WANACHAMA TOA HIYO 51% ZENU
  3. C

    Mahakama yaamuru Mali za Maxcom Afrika zipigwe mnada

    Madeal ya SERIKSLI ndiyo mazuri kuiba hata hivyo hawakutaka tu kuliba deni kwa wakati walikuwa wanazowa tu na wakiziba tu PESA za MaxMalipo UNAJUWA wabongo
  4. C

    Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

    ANATAKIWA atumbuliwe ana dharau Sana kwa wananchi na rais kusoma tu hakukufanyia uwe kiongozi mjuwa yote
  5. C

    Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

    But he did not stay in the class full time and there is no part time PhD in Tanzania that is questionable.
  6. C

    Kama kweli Mwigulu anautaka Urais mwaka 2030 anaweza kuupata kirahisi sana

    Kwanza siyo KIJANA pili hafai kabisaaaaaaaa kuwa rais
  7. C

    Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

    ONDOA MWIGULU ATATUHARIBIA NCHI
  8. C

    Thabo Bester maarufu 'Mbakaji wa Facebook' na Dkt. Nandipha Magudumana wakamatiwa Arusha Tanzania. Wafahamu kwa undani wapenzi hawa

    HAKUUA MTU!! ALIMTUMIA HUYO DAKITARI KUCHUKUWA MAITI MORTUARY NA KUIWEKA KWENYE CHUMBA CHAKE GEREZANI NA KUKIWASHA MOTO. HAKUUWA MTU ALITUMIA MAITI ILIYOKUWA MORTUARY. HAPO WATU WENGI WANAHUSIKA SANASANA ATARUDISHWA JELA KUTUMIKIA KIFUNGO CHAKE. HAPO POLISI WANAHUSIKA, WATU WA UHAMIAJI...
  9. C

    Wanafunzi kukacha kidato cha 5 & 6 na kujiunga Vyuo vya Diploma, tatizo ni nini?

    Hakuna ugumu wowote ni kupoteza muda tu na resources haina maana yoyote unaenda kusoma huko unaenda chuo kikuu UNAMALIZIA hakuna Ajira Mahala popote
  10. C

    Baada ya kufanya kazi kubwa, Mwamba anarudi kuitumikia nchi yake

    Umezaliwa lini hujuwa makombe gani yaliletwa na wachezaji wa zamani kweli?
  11. C

    Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

    Hiyo ilikuwa ya part time wala hakuchukuwa likizo kuisomea full time PhD nayo ni fake tu
Back
Top Bottom