Recent content by Chby

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ukishangaa ya jk utaona ya Heslb.

    mmmmmmh! utayaweza haya make mwenye shida hapati huo mkopo alie na uwezo ndo anaekopeshwa wizi mkubwa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    tanzania bana tunkoelekea sio kwema cjui umhimu wa hizo safari mbona mseven kibaki na nchi zingine hawasafiri kiasi hicho na nchi zao zinapiga hatua ktk maendeleo ce nyuma tunarudi
  3. C

    JamiiForums Tanzania JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    Ndo naanza kusikia kilele za mlango zkimnyima ucngz mwenye nyumba!,
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji 'kusaidia kujenga Mahakama ya Rufaa' siyo sawa!

    Bado kidogo utasikia ikulu anapewa mwekezaji, kwa jinc hii! Kweli nakumbuka stor ya mfalme juha! Bt 2nao wa2 wa jinc hii
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mh. Pinda anaposhindwa kujibu maswali mepesi

    Wala CAG, Cshangai kufikia hapo, kama wanaweza kuwaamuru majaji kufanya maamzi, hata yeye anaweza kuwa hvyo, make ndo mara ya kwanza nasoma report ya CAG, iliyokisiasa zaidi, haku2mwa kwenda kuchunguza usahih wa figure, pia kwa kanun za fedha kuna utaratibu wa ku2mia fedha nje ya budget cjui ka...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hi!

    Wt's interestn in jf? Niko ndan acha nitembelee kila chumba
Back
Top Bottom