Huu uzi una uhai,
nami leo nimesoma na nimejifunza mengi sana, mimi ni mfanyabiashara mdogo wa nguo za michezo. Nataka nianza kuagiza nje na mimi. Msaada kwa anaeweza kunipa mwangaza.
Natanguliza shukrani
JF ni mtandao wa kijamii unaokizi vigezo vyote hasa katika kuelimisha,najuta sijui ni kwanin nilichelewa kujiunga.Nawashukuru pia wote mnaojitolea muda wenu katika kuelimisha.Thanx
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.