Recent content by ChawawaMbowe

  1. C

    Video: Angalia jinsi Rais Paul Kagame anavyowapiga KO wanahabari magharibi kwa majibu ya kibri na kejeli

    Acha kudanganyika na vimajibu vyake anavyowajibu hao wamagharibi. Hii ni njia anayotumia kuihadaa dunia ili isiamini wala kufikiria kuwa yeye anasapotiwa na nchi za magharibi. Wazungu wanaweza kuonesha chuki dhidi ya nchi au kundi fulani la kihalifu ili kuihadaa dunia iamini kwamba...
  2. C

    TANROAD na barabara ya Mbezi High kwenda Mpigi Magoe.

    Weka picha tuone na kupaza sauti mkuu.
  3. C

    Kwanini Kituo cha mafuta 'Rupeez Oil' kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara Kimara Stop Over?

    Nchii hii kila mwenyenacho huongezewa. Haswa haswa wale walamba asali wa juu.
  4. C

    Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!

    Alikuwa anaishi maisha ya pondamali kufa kwaja. Hakufikiria kuwa cheo ni dhamana kuna siku atatemwa.
  5. C

    Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

    Kibiashara wilaya ya Ilala iko vizuri, ila kwa kuishi na sifa zingine ulizotaja Kinondoni inaongoza. Huu ni mtizamo wangu lakini.
  6. C

    Kwa watu walio karibu na Joseph Mbilinyi Sugu, wamfikishie ushauri huu wa bure

    Sugu mwenyewe nipo hapa. Ngoja nipaki gari pembeni nijibu huu upuuzi wako dogo.
  7. C

    Kumbe shemeji mtamu namna hii, basi nina mtihani mkubwa huko mbeleni

    Jamii Forum ndio sehemu nzuri kwa mtu yoyote mwenye kutaka kupoteza stress kichwani kama ivi.
Back
Top Bottom