Recent content by Chawa wa Zamani

  1. Chawa wa Zamani

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Kahama tuambieni kama kuna mgao wa umeme tuelewe

    kama hayawan..wanakata sekunde mbili wanarudisha sekunde 5 ..yaan huo ndio mchezo Jana ndio wametia fora hasa huku nyasubi ,nyakato...Mjtafakar
  2. Chawa wa Zamani

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani

    katk hili nipo pamoja...na pope Dini zote zinataka amani & brotherhood!
  3. Chawa wa Zamani

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia wakati kuchagua kampuni utakayonunua hisa zake katika soko la hisa D.S.E

    safi...na Je hzo report utapata wap? mfano unaweza kwenda pale crdb...wakakupa tu..bla kuhis wew n competitor wao
  4. Chawa wa Zamani

    JamiiForums Tanzania Mafuta yamepanda, Media na watanzania kimya cha kaburi, wapo bize na Yombo Dovya Ajabu!

    na walivyowanafki hapa hautowaona sio media Wala wabongo wakishirikiana na wengne eti hawana habar kama yametokea Leo ....very stupid indeed!
  5. Chawa wa Zamani

    JamiiForums Tanzania Case study; Binti wa Yombo Dovya kaifanya nchi nzima kujadili(petty issues) ili Hali Kuna mengi ya msingi mno katika maisha yao wameyakalia Kimya!

    nchi hii n kubwa kuliko mtoto wangu...nin mtoto Wang juu ya matatizo yaliokithiri ya watu Zaid ya 60m+...Acha ubinafsi ! Kwa hili nimekudharau sana...
  6. Chawa wa Zamani

    JamiiForums Tanzania Mafuta yamepanda, Media na watanzania kimya cha kaburi, wapo bize na Yombo Dovya Ajabu!

    Mpk Sasa nimefuatilia vyombo vya habar ving sana sio Ayo tv, sio kitenge tv...kimya Cha kaburi! n vichache mno vimeweza kutoa taarifa hii ikiwemo Jamii forum.. Hizi taarifa n tokea Jana usiku zimetoka ila kinachosikitisha Mambo haya hayana airtime Tanzania sio kwenye Media sio Kwa watanzania...
Back
Top Bottom