Msaada wenu nina mpango wa kuanza mutengeneza san tizer shida, ni vifungashio naomba muongozo wenu navipatane na bei zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa naishi Mozambique hasa mkoa wa Cabodelgado ila kutokana na changamoto za kiusalma kule nimeamua kurudi kwetu na nipo Njombe.
Na nataka sasa kujishughurisha na biashara ya vitunguu. Wanajamvi naomba kujua kwa sasa naweza kuvipata wapi?
Kwa ushauri waweza nipata kwa no yangu 0715555521...
Lakini uzuri wa kkoo hawakufichi wanakwambia kabisa hii ni no 2 na og pia zipo sasa mwenzangu na Mimi usije ukakimbilia 450 utakuwa boya jipange ununue og
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tusibishani ukweli ndo huo asioimia kubwa wanaoingia pale ni kwanzia mawazili wabunge na matajiri pale wa hali ya chini anafata mkumbo tu. Na hayo mashop ndo wanaongoza kuuza vitu kanyanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni huo vipo juu kwasababu ya hadhi yake ni kubwa ko kunahaja gani mtu wa maisha ya chini akanunue 20000 wakati anajua kkoo ni 5000? Ukweli ni kwamba pale ni kwa watu wa maisha ya juu. Ambao hawawezi kupambana na vurugu za kkoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.