Recent content by CHAUVINIST

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kama Muhongo hakuhusika, Mengi anahusikaje?

    Kuwa muelewa wewe, Jairo alipisha uchunguzi ndiyo, lakini mwisho wa siku akapewa notification ya kuwajibishwa!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya uzalendo kwa wafanyabiashara na wanasiasa wa tanzania

    Siasa za Tanzania zinarudisha nyuma maendeleo ya nchi kwa asilimia 87, huu ni utafiti makini uliofanywa hivi karibuni. Watu wamekazana kuchafuana na kuharibiana kazi kwa kutafuta umaarufu usio na Tija kwa Taifa. Wanakesha kutafuta mbinu za kuchafuana badala ya kukesha kutafuta mbinu za kuinua...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kama Muhongo hakuhusika, Mengi anahusikaje?

    Ushahidi wa Muhongo uko wap? Kuna ushahidi wa kutosha kuhusu ufisadi wa Mengi fuatilia mambo usibugizwe maneno na wanasiasa mchwara
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kama Muhongo hakuhusika, Mengi anahusikaje?

    Acha ubege wewe Mengi ndiyo enginia wa yanayomkuta kiongozi bora 2014 Prof. Muhongo, Unahitaji ushahidi gani zaidi kwani kipindi wanalumbania vitalu hukusikia au unajisahaurisha bwana kasinge. Mengi ni Fisadi mkubwa Tanzania hii amefilisi NBC kwa kugoma kulipa madeni aliyokopa, na kama ni mtu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaingilia Bunge kuzuia suala la Escrow lisijadiliwe!

    Kumbe na wewe ungepata mgao usingeongea hivyo? tunataka wazalendo na si warohoo kma ww...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaingilia Bunge kuzuia suala la Escrow lisijadiliwe!

    Kama wanamadi ya msingi waende mahakamani na si kuzungumzia jambo lilioamuliwa na mahakama. Kama ni mwanasiasa uchwara hutalijua hili kamwe....
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

    Utaonekana mwendawazimu tuu!!!! ukiongozana na wendawazimu wenzako!!!! bakora nyingi na za kutosha ndiyo dawa ya wendawazimu......
Back
Top Bottom