Kiwanda cha 21st Century kinaungua moto mida hii.
Kiwanda hicho kinamilikiwa na METL.
Si mara ya kwanza kiwanda hicho kuungua moto, mara ya mwisho ilikuwa 2016
Kulikoni METL?
MWAKA MPYA 2019: MWAKA WA KURUDISHA DEMOKRASIA, HAKI ZA BINADAMU NA UTU WETU TANZANIA
SEHEMU YA KWANZA
Tundu AM Lissu, MB
University Hospitals Leuven, Campus Gasthuisberg, Leuven, Ubelgiji
Januari 6, 2019
Wapendwa Watanzania wenzangu,
Leo tarehe 6 Januari, 2019, ni mwaka mmoja kamili...
Ni wajibu wetu hizi fedha zote zinazokuja kusaidia wenzetu wakimbizi katika nchi nyingine wenye shida sisi tupate ‘reciprocal process’ ya kufaidika na matatizo yao. Wao wapigane kule sisi tupate hela,” amesema Rais Magufuli.
Sijasema kwamba wanapenda kupigana lakini kupigana kwao pia kuwe na...
1. Hakuna gharama za Break Fast (yaani kifungua kinywa)
2. Hakuna bugudha ya kuwahi bafu (kwa wale wenzangu wanaokaa nyumba yenye bafu na choo kimoja)
3. Hakuna bugudha ya kuweka alarm.
4. Huna pressure ya kukumbana na kibaridi cha asubuhi.
5. Kitanda kinafurahia uaminifu wangu wa kukutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.