VICOBA ina histora ndefu sana, ikiwa ni wazo lilio anzia hasa India, miaka ya 80 mwishoni kwenye jamii ya watu masikini kule India ambao walikuwa wakati wa uchaguzi wanaomba omba pesa sana kwa wanasiasa ndio watu wakakaa chini na kubuni saving group.
Miaka ya 90 mwishoni ikaingia Afrika hasa...
Tuna export nini? ujue tunazunguka mbuyu bure tu. Nchi ni imejaa frame za kuuza imported goods from China unategemea nini? Nchanzo kikuu cha pesa za kigeni ni nchi kuuza nje bidhaa zake, sasa tunauza nini?
Kama Taifa tunatumia pesa za kigeni kununua hadi Midoli ya watoto kuchezea kutoka China...
Matunda
- Pixie, haya ni yale machungwa unayaona super market.
Washing ton naveli- Aina pia ya machungwa seedless.
- Tangarine Seedless yale machenza unayaonaga supermarket kubwa kubwa tu.
Limao, seedless, Maembe fanya utafiti aina za maembe.
Ovacado jwa ajaili ya soko la ndani, achana na...
Kwa hio wewe una tatizo na Mkono mweupe? vipi ungekuwa mkono mweusi na still nisiwe mimi? yaani shida kuu kwako ni mkono mweupe? Aisee, Unataka ya mkono mweusi? Ubonge wa smart unanisaidia chochote kile? Take time mkuu
1.Alovera ni biashara kubwa sana Duniani, huonagi products za Alovera? au unataka vipi?
2. Hayo mafuta ya Ubuyu mbona yanauzwa na watu wana wananunua, unacho pondea kuna wenzako wana make pesa sasa endelea kupondea tu.
3.Mayai ya kware ni chakula, unaweza yatumia badala ya maayi ya kuku, yaani...
Dragon fruits ni matunda na ni chakula,
nchi ina wapumbavu wengi sana hii, Mayai ya kware ni chakula unaweza yatumia badala ya mayai ya kuku, mfano mayai ya kware 2 had 3 ni yai moja la kuku. lets say wewe unatumiaga mayai mawili ya kuku, unawexmza tumia mayai 3 ya kware badala ya mayai ya kuku...
Dragon fruit ni tunda ghari sana ingawa siku zote naamini kitu kikiuzwa ghari sana una exclude kundi kubwa sana kuto kununua.
Majority ya watu ni wa viapato vya chini. Sasa ukiuza tunda sh 10,000/ au 15,000/ au 5000/ kwa mtu wa kawaida hawezi nununua ni bora akanunue tikitiki maji sh 2000/ hio...
Ukiangalia maandamano ya Wakulima Ulaya yana fikirisha sana na kujikuta nawaza kama tuna lima huku Africa au tuna tania tu.
Ulaya wakulima wana nguvu mno, kaisi kwamba sisi tunaonekana tuna cheza tu, na Wakulima sio tu wana nguvu pia wanaogopewa sana na sio Ulaya tu hata Asia nchi kama India...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.