Wakuu Mulugo ni mbunge wa kwetu kule Songwe lakini pia ni jirani kabisa na mahala ambapo mhimiri wa ukoo wetu ulipo, nasikitika kuzaliwa karibu na mtu wa aina hii Mulugo ni mkimbizi wa akili zake mwenyewe...
Maalim bado umekuwa kiongozi wa Mfano kwangu, lakini nikushauri kwenye hili jambo la kumsema Aboud Jumbe ungejibanza pembeni kabisa madhari wazanzibari hawalisemi sana basi nawe ungelikaa kimya tu.
Kama umeshindwa kulisema wazi kwa miaka yote 32 angali Jumbe yu hai haina maana kusema leo...
Mgombea Urais nchini Uganda, Amama Mbabazi amedai Watanzania na Wanyarwanda wanasafirishwa hadi Uganda kumpigia kura Rais Museveni. Soma Amama Mbabazi: Kundi la Raia kutoka Tanzania na Rwanda wanasafirishwa kuja kumpigia kura Museveni
Basi la Simba Mtoto limegongana na Lori la mizigo huko Korogwe, Tanga na kusababisha vifo na majeruhi kadhaa(idadi kamili bado). Zaidi AJALI: Basi la Simba Mtoto lagongana na Lori na kusababisha vifo, majeruhi huko Korogwe - Tanga
Marubani wa Ndege wa Shirika la Lufthansa nchini Ujerumani wameendelea na mgomo leo na kupelekea Safari takribani 1,000 kusitishwa. Soma Germany: Lufthansa pilots strike for second day, 1,000 flights cancelled
Wakuu Mimi nakwenda Mbali zaidi, katika kuyajadili maneno ya huyu anayejiita Askofu Gwajima aliyoyatoa jana tar 08.09 katika ukumbi wa Landmark Hotel, kama majibu kwa Dr. Slaa kufuatia Dr. Slaa kumwita yeye (Gwajima} mshenga wa kukaribishwa kwa Mh. Edward Lowasa ndani ya CHEDEMA.
Ndugu zangu...
LAZIMA UTOKE JASHO, KISHA UPATE
LAZIMA tuelewe yakuwa mafanikio hayaji kwakuyadhania, yaani madhari tu unafikiria kwamba siku moja utakuwa na maisha mazuri kwa kiwango hicho cha kijidhania kwako na ikawa hivyo, hapana. ni lazima ujishughurishe, mara nyingi watu ujidhania kwamba ugumu wa maisha...
MIAKA 53 YA UHURU, NI UHURU KWA NCHI
GANI?
Leo 9 Dec 2014 Ni mwaka wa 53 tangu ile nchi
iliyofahamika zamani kama Jamhuri ya watu wa
Tanganyika ijipatie uhuru wake mnamo 9 Dec
1961.
Hakuna siri, na wala sidhani kama kuna mtu
yeyote anaweza kubisha hili la kwamba Jamhuri
ya watu wa Tanganyika...
Kitabibu Mwalimu alikufa kabla ya october 14, lakini hata hivyo bado haileti connection ya kwamba Komba alipata wapi? Habari hata akaandaa nyimbo zote zile,
Kusema kwamba Benjameni Mkapa aliweza kuwadokeza watu wake wakaribu hata Komba, akazipata taarifa na kujiandaa nyimbo zile dhana hiyo...
Ya Francois Compaore na Paulo
Makonda wetu!
NIANZE makala hii kwa kukumbusha makala
yangu niyowahi kuiandika mara tu Mheshimiwa
Jaji Warioba alipotangazwa kuwa Mwenyekiti wa
Tume ya Kuandaa Rasimu ya Katiba.
Niliandika kumshauri Mzee Warioba akatae
uteuzi huo kwa kuwa aliwahi kuwa Mwenyekiti
wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.