Pcha naona inanpa wakat mgum kutambua ni mahaba o ktu gan coz siskii hzo neno zao et pate kuelew uzuriiii. Pia uzur wa kitu uelewe mwanzo mwsho so juhis tu...
Mmmhh hiyo kitu inasadikika tu hakuna ushahid wakutosha, laiti kama ingekuwaivyo tetesi zingekuwa nyingi mno... pia hyo sababu ya 5 naipnga kutokn yaezekan MADIBA alivyotok gerezan kwa kipnd kiref aliathiriwa kisaikolojia hvyo hakuweza endeleza harakati kama ilivyo mwanzo. Bnadam tunabadlk kla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.