Recent content by CharlyK

  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Asanteeeee...wabongo hatuelewagi
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Ndo hapa..kosa la system ya computer inamhusuje mama Ndalichako if not IT ishu..watu bwana
  3. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Hii Kali..unataka kusema hamna wakristu waliofeli!!!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Yule mama amewafelishaje labda. Wanaosahisha ni wengine na compilation..yeye anapewa matokeo anatangaza kumi bora na za mwisho na wale TOs..
  5. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho

    Kwani za kwako
  6. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho

    Unaamuru zielekezwe,ni za kwako??
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    Kwani umelazimishwa..peleka mwanao shule ya kata uone
  8. C

    JamiiForums Tanzania 10 deadly words that can help you judge a womans mood

    Na kweli
  9. C

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wote kitaifa wanatokea kila kanda, Hongera Magufuli

    Watu wanaongea kama raisi na waziri mkuu..walijitenga lini mbona cjawahi kuskia nchi ya kaskazini??
  10. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni

    Je unajua vigezo??na if walijua hashindi ndo wasiweke mgombea??
  11. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni

    Dah inaelekea watanzania wengi hatuelewi wat goes on inside bunge na wengi siasa tumeijua uchaguzi huu..mambo ya upinzani ni chama cha upinzani chenge wabunge wengi..na wanakaa kufanya makubaliano yao..na hatimaye mawaziri vivuli..so tuwe watulivu tu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa SMS kuhudhuria interview Muhimbili

    Mpigie simu aliyetuma sms
  13. C

    JamiiForums Tanzania JPM tusaidie hii kero ya muziki wa juu katika ma-Baa yaliyoko katikati ya makazi ya watu

    I beg to differ..watu walipewa vibali na wakaruhusiwa kabisa kujenga those facilities..sasa kumwambia serikali aingie tena gharama sidhani ni solution Pia in the long run kuwe na mpango mji, sehemu mpya zijengwe vizuri na kwa utaratibu Yaani sehemu nyingine huelewi ni makazi au kumbi za starehe...
Back
Top Bottom