Habari wanajf!
Jamaa alikuwa anamiliki kiwanja.
2022 Akaenda ofisi za Ardhi kwa lengo la kupima kiwanja chake, baada ya vipimo akaanza mchakato wa kuomba hadi, kabla hajafanya malipo kwa ajili ya hati akapata dharura na kusafiri ambapo alirudi mwaka huu, amekuta kile kiwanja chake tayari kuna...
Nimezunguka maeneo mengi ya Dar es salaam kwa mtizamo wangu ni haukufanyiwa planning! Stendi za daladala vimetengenezewa msongamano mkubwa mno na kelele nyingi saana zisizokuwa na tija.
Mfano stendi ya mbezi mwisho na mbagala rangi wajasiriamali wameweka vibanda visivyo rasmi ili kufanya...
Nimejaribu kutafuta huduma kutoka kwa credit info Tanzania hii ni wiki ya pili sasa, nilijaza form kwenye website yao ili kuomba kupatiwa loan report mpaka sasa sijapata majibu, namba ya simu iliyowekwa kwenye website haipatikani pia nimejaribu kuwatafuta kwenye namba ya WhatsApp halikadhalika...
Kiukweli hapo ni sawa na kumfanya mwenye nyumba awe mlinzi, kila siku awe anakuja kumkagua mpangaji amekuja na nini!
mtu anapangishiwa nyumba/chumba hawezi kujisema kuwa anafanya illegal issues! Huwa hivi vitendo vinafanywa kwa siri saana! Muuza unga huwa haji na viroba vya unga wakati anakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.