Recent content by Charles kikoti

  1. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Roho inaniuma WIRE TURN haifanyi kazi tena

    Wameshatuchia baharuini hawa jamaal
  2. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Ni Vpn ipi nzuri kwa kupata free internet?

    VPN wamezifunga sahizi hakuna inayofanya kazi. Ila zilikuwepo nyingi tu playstore. Zinefungwa sasa wiki ya pili kama sio ya tatu.
  3. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Serikali fungieni mchezo wa kubeti wa Aviator (kindege), unamaliza vijana

    Serikali inajari tu kodi.
  4. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Printer ipi ni Nzuri kwa Kuprint Labels

    Nadhani Epson hana mpinzani hasa kigezo mojawapo ikiwa ni uwekaji wa wino. Japo ni kama bahati nasibu zingine kwenye matumizi ya wino ni hatari. Kama mtaji unaruhusu chukua hiyo ya 1.5m
  5. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Agenda 2030 hatari Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Vatican inamiliki dunia

    Siku zote asiyejua akijuzwa huona wanaojua wanapomjuza wajinga. Tuache itikadi tutafute ukweli au hata possibility. Kuna possibility kubwa Uislamu ulianzishwa na Roma. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Vatican inamiliki dunia

    Ukiona mpaka leo hujagundua kuwa Roman ndo wanashikiria dunia ujue umeridhika na uongo walikokufundisha. But ukweli Roman rules the World. Amka. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Vatican inamiliki dunia

    Hii ndo dunia yetu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Mwenye ofa ya tecno L9 plus anicheki.
  10. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Tecno L9 plus ina bei gani?
  11. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Natafuta printer

    Asante kwa ushauri ndugu.
  12. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Zinazingua kuweka wino mpaka basi ndugu.
  13. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Kama kuna anayejua sehemu wanauza printer ambazo ni nzuri na wino wake unapatikana kirahisi naomba mawasiliano na wauzaji tafadharini. Iwe Epson, Canon au Hp ila cartridge isiwe ya kuweka wino kwa sindano. Budget yangu 350,000
  14. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Natafuta printer

    Kama una mawasiliano na mwuuzaji nisaidieni tafadhari.
  15. Charles kikoti

    JamiiForums Tanzania Natafuta printer

    Epson model gani hiyo 350,000 ndugu zangu ili niwe specific.
Back
Top Bottom