Recent content by charles james tayari

  1. C

    JamiiForums Tanzania Pata ushauri wa bure wa kesi yoyote, Ardhi, Jinai na Madai (Thanks Giving Days)

    Wapendwa habari zenu poleni na majukumu ya kila siku naomba kupatiwa msahada Nina ndugu yangu anaitaji kusoma English course hapa dsm mwenye kujuwa sehemu inayo toa elimu nzuri tafadhari anipe maelekezo nielekee uko endapo janga hiri liki hisha yupo DSM Asante
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Kweli Ni tatizo tunapo kwenda kuwapa tarifa nssf wanasema wanalifanyia kazi miaka sasa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Naomba kufahamu Kuwa mfano kampuni aipeleki pesa ktk mfuko wa jamoi nssf kwa muda wa miaka miwili akuna ata sent tano na ninapo kwenda nssf Wanadai awanaditell za kuniusu Mimi Kama kweli michango yangu ina kwenda nilipo kuwa nafanyia kazi napewa salary slip ambazo zinaonesha ukatwaji wa pesa na...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Je muajili asipo toa mkataba kwa muda wa miaka 2 then mwishon ana kufukuza kazi je yupo sahihi au ana kosa na je nikipewa mkataba siku ambayo ana nifukuzisha kazi ndipo Ni sain je nikubali au nigome msahada jaman
  5. C

    JamiiForums Tanzania Pata ushauri wa bure wa kesi yoyote, Ardhi, Jinai na Madai (Thanks Giving Days)

    Kitu gani napaswa kufata endapo nikiwa sijapewa stahiki zangu na kuonewa ktk kusitisha mkataba wangu Kati yangu na muajili
  6. C

    JamiiForums Tanzania Pata ushauri wa bure wa kesi yoyote, Ardhi, Jinai na Madai (Thanks Giving Days)

    666 chata, Naomba kufahamu haki ambazo na stahiri kupata pale ninapo taka kuacha KAZI ambayo nime ajiliwa
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufundi wa ku-repair radio/tv, naomba kufahamishwa

    Asante Sana mkuu
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufundi wa ku-repair radio/tv, naomba kufahamishwa

    Sabufa Ina Waka na Ina spika 2
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufundi wa ku-repair radio/tv, naomba kufahamishwa

    Sabufa
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufundi wa ku-repair radio/tv, naomba kufahamishwa

    Habari Wana familia JF naomba kwa anae fahamu Nina sabufa imekata sauti gafra aitoi je Ni njia gani naweza fanya ukaguz...naomba msahada
Back
Top Bottom