nipende kunukuu moja kwa moja
1 wakorintho 14:2
Maana yeye anenaye kwa lugha, hasemi na watu, bali husema na Mungu; maana hakuna asikiaye; lakini anena mambo ya siri katika roho yake.
Ukisoma hiyohiyo
1wakorintho 14:27
kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, si zaidi, tena zamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.