Nape alikuwa Mwenezi wa chama ko ni kawaida kwa mwenezi kuwa na propaganda,,, sasa huyu siyo ni Mkuu wa Mkoa na isitoshe ishu ya vyeti haina uhusiano na kumchukia mtu... watu wanajadili sheria ya mwajiri wa serikali inasemaje? lazima uwe na Form 4.... cheti... cha ufaulu.. huyu Bashinte hana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.