Recent content by chapati mbili na chai

  1. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    N ingeenda duka la dawa asili pia mngesema niende hospital, Sasa nimeenda hospital mnasema pia eti niende aga Khan, ningeenda huko mngesema bongo jau niende india
  2. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Kwani nimepewa dawa online mbona unaleta dharau Mzee unaniita Dogo unanijua. Kwahiyo ukienda agha Khan ndiyo Kuna tiba tu za uhakika ila hospital zingine hakuna tiba za uhakika
  3. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Wakubwa mwili uneacha kuwasha, bado vile vipele viwili kwenyemboo bado vipo vinatoa kama maji maji bhivi kwa mbaaali, yaani kama unyevu ila haviumi
  4. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Mbona sijapata mauti Sasa. Mauti yanampata Kila mtu, hata Yesu alipata mauti
  5. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Ikoje mkuu nimeambiwa Nina UTI 500 🤔 hapo ikoje
  6. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Ningeenda Agha Khan ndiyo ingependeza au Hospital ya Mzena
  7. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Nilikutana naye kwenye mkesha wa kinabii, siyo barmaid
  8. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Dr amenipa hiyo baada ya kumwambia mwili unawasha kama vipele hivi. Kwenye kichwa chamboo Kuna vipele/vidonda viwili japo haviumi ila hajasema hiyo lotion nipake hapo
  9. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Dokta kasema Nina UTI 500 🤔
  10. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Wakuu habari zenu. Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo, Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana. Au vipimo vinaweza kusema uongo? Na vipi mbona mwili unawasha Sana na pia kwenye kichwa Cha uboo...
  11. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Dalili nilizoona ni hizi, kwanza mwili ulianza kuwasha na vipele Kwa mbaaaaaali. Baadae vipele kama viwili hivi kwenyemboo, maeneo ya kichwa chamboo. Vipele hivyo au vidonda hivyo kwenye mboo haviumi.
  12. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Zimepita kama wiki mbili au tatu tangia nifanye naye mapenzi mkuu. Ila dalili nimeziona ndani ya siku mbili za hivi karibuni!
  13. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mafundisho makuu ya Yesu aliyofundisha ni yapi ?

    Hayo mafundisho yapo tokea aGano la kale
  14. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    acha Sasa Jumatatu niende maabala
Back
Top Bottom