Recent content by CHAPALAKATA

  1. C

    JamiiForums Tanzania Polepole kufungwa au kunyongwa ikiwa tu...

    Huu uongo waambien wajinga werevu hii haiingii akilini polepole hayupo nchini kamutekaje pia hao watekaji wa siku nyingi je wamekufa?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Pichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze

    Nyie musitoe hukuma mama wa kwanza ndoa ina siri nyingi au munataka aje amwage upupu humu ,we ninani umuhukumuyo nduguyo ? Pia huyo mpya kakuta hela kipimo angekuwa kipindikile huyo anaachwa huyo akawa naye ,she would run away . Delila naye angekimbia tu Achenickuhukumu pia bado mkewe ana watoto...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ndg Polepole amekwishapoteza, asipotubu nafichua yote ya gizani

    Hajawahi kuwa waziri hivo hakuna alilofanya baya hawa wanao mutishia wanataka kumunyamazisha but wamechelewa hayupo nchini ana relax yuko nje nyie mutanjinyonga bure wacha aseme puma na Mchele wenye akili watajua
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

    Mbona hajafafanua kuhusu ,je oil ilitakiwa imwagwe ,mama muda wake vipi? Mbona waziri mkuu na makamu wameachia ngazi?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Polepole ni Mkwara mbuzi tu, anatishia nyau ila hana lolote

    Tufike mwisho atasemaje au nawe ni mlengwa subiri moto
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aliwaonya akina Lissu kuhusu No Elections, wakampuuza

    Kuzuia uchaguzi ni uhaini na lini walizuia iliionekane kutendeka
  7. C

    JamiiForums Tanzania Natabiri: Kabla ya Siku 10 alizosema Askofu Gwajima kutimia atakuwa kashakamatwa

    Hofu yao nini Acha aseme ili wawe nalakusema
  8. C

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Nataka leo nikeshe nimejilaza kwenye mkeka nizidi kumuomba Mungu mama anaumwa
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwa sura tu Humphrey Polepole anaonekana ni mnafiki aliejawa tamaa, visasi na chuki binafsi

    Limekukuna eee subiri above zaidi nguzo za Ccm
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwa sura tu Humphrey Polepole anaonekana ni mnafiki aliejawa tamaa, visasi na chuki binafsi

    Limekukuna ee subiri above zaidi nguvo za Ccm
  11. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lembrus Mchome: Nimemshauri sana Heche lakini hashauriki. Viongozi wengi wamejaa ghilba , viburi na jeuri

    Natabiri kuwa kuanzia muda wa kampeni katikati hawa chauma wataanza kupigwa mawe na wananchi wakiwa kwenye kampeni moderator weka uzi huu ukaishi mutasema nimeonyeshwa na Muumba nimeona mawe yakipigwa kwenye kampeni hususa ni vijana wadogo Ngenz walio chukizwa na wasaliti
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka ndugu zangu mawazo yenu wakuu

    Mpuuzi ww mutafute ndugu yako atakuzika au utamuzika full stop
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ndg Polepole amekwishapoteza, asipotubu nafichua yote ya gizani

    Ww uwe na akili polepole alikuwa askari lini au usalama lini naje anachosema hakijafanywa na hao wasasa au kukiuka katiba haipo lipi anaongea uongo ,?acheni ujinga nyie kila kitu kipo bayana kwanini asiseme? Nakwanini munazima fb,kama anacho ongea siyo kweli?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

    Taifa kwanza wakae waongee hii ya kuviziana haina maana busara itumike ni sawa na mkeo ukimwacha huku anajua siri zako zote huenda ulikuwa na mchawi unamushirikisha atasema mbwai na iwe mbwai
Back
Top Bottom