wananchi wanapata shida sana. kisa daradara wameambiwa kutokaa kituo kimoja muda mrefu, foreni zote zinatakiwa ziwe mwanzo wa vtuo au mwisho. tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa serikali yetu.
Daladala Iringa za goma. kisa wameambiwa wasisimame kwa muda mrefu katika kituo kimoja na kusababisha usumbufu kwa abilia. Hatari sana tumefika hapa kwa sababu ya udhifu wa serikali.
Hii asubuhi leo mgomo wa daladala umeanza na kuwafanya abiria kupata shida sana kwenda kazini, hadi imefikia watu wanapanda bajaji. Hii hatari sana, kisa daladala wamekatazwa kupanga foreni ili kusubili abilia sehemu abazo si vituo lasimi mfano Posta.
Sumatra wanasema foleni inatakiwa iwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.