Ajabu ni kwamba wewe unayo Kura moja tu Sasa sijuwi kama itatosha kumpa ushindi huyo kiongozi wako maana mtazamo wako na wa mwengine hauwezi kuwa sawa hata siku moja
Hapa ndo utamu WA siasa hata huku kwetu chanika mbunge wetu katukimbia kaenda kutangaza Nia kwengine na huku kazi aliyopewa na wapiga kurawake hata robo hakufi
Hizi ni akili za CCM toka kitambo rejeaiile ya subwoofer ndogo pale mbey walivyoigiza kwamba wanaenda kuzika chadema mbeya mjini so hatahizi nazo hamshindwi kufanya manake mzoea hujengatabia mmstukiwa
Kwa mara ya Kwanza Leo NAMI nichangie japo kidogo hii mada maana kunajirani yangu moja zamani kabla sijaweka umeme yeye ndo alikuwa anaamua Mimi nilale saa ngapi na niamke saa ngapi maana ilikuwani kelele Hadi nikamripoti Kwa mjumbe lakini tabia take haikukoma nivyoomba barua kwenda ngazi ya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.