Sawa mkuu ngoja tuendelee kusonga mbele.pia mkuu haya mawe yaliosoma hiyo ppm tukiyasaga nakuozeshe tunaweza kupata faida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sisi tunachimba maeneo yanaitwa tulawaka tumepakana na tulawaka gold mine shimo letu sasa lina futi 143 na tumekutana na mwamba mweusi wenye mchirizi mweupe kidogo sasa baada ya kulipua tumepeleka sample maabara imesema 0.33 ppm sasa mkuu unatushaulije tuendelee kwenda deep zaidi au...
Habari wakuu.ninatafuta partner wa kushirikiana nae kwenye uchimbaji wa gold maeneo ya mavota karibu na tulawaka goldmine.Nina leseni na nimeshachimba futi 120.nahitaji partner ambae atanunua crusher au kujenga plant ili tuanze kuozesha
Sent from my H7 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.