Recent content by Changer 22

  1. C

    Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    serikali Ina haja ya kuangalia vizuri muswada walioupeleka bungeni hasa kwenye matumizi ya kodi katika kulipia bima Lengwa ya Bima kwa wote. Hii bima imengalia uwezo wa familia duni hasa vijana ambao bado hawajajipata kiuchumi itakuwa ngumu kwa upande wa pili serikali iangalie uboreshwaji wa...
  2. C

    Mfumo wetu wa Elimu utakuwa na manufaa miaka 50 ijayo?

    Bado Kuna hitajika nguvu kubwa ya mabadiliko. Vijana ndio sisi ambao Kwa hiyo miaka 50 ijayo tutakuwepo/ hatutakuwepo kushuhudia vitukuu vyetu vikiteseka na mfumo mbovu wa Elimu.
  3. C

    Mfumo wetu wa Elimu utakuwa na manufaa miaka 50 ijayo?

    Nianze kwa kusema naipongeza serikali kwa juhudi kubwa iliyoiweka katika utengenezaji was miundombinu mizuri hasa madarasa pamoja na kuweka mikopo Kwa wanafunzi wa Elimu ya juu. Swali linabaki Moja je, uwekezaji huu wa serikali kwenye Elimu utawezesha vijana kuwa na fikra chanya juu ya...
  4. C

    Kwanini kufanya kazi kwa Wahindi ni changamoto sana?

    Nimetafakari sana juu ya hali ya wafanyakazi wanaofanya kazi katika kampuni na mashirika mengi yanayoendeshwa na Wahindi na kugundua kuwa kuna vitu havipo sawa, hasa kwenye ngazi za kiutendaji. Kuanzia kariakoo mpaka sehemu nyingine nchini asilimia kubwa ya wafanyakazi huwa hawapewi mikataba...
  5. C

    Fikra duni ndio chanzo cha kupoteza ndoto za kijana?

    Kipi kifanyike na mabadiliko yaanzie wapi..? 1. Serikalini Kwa maana ya mfumo na uendeshaji wa elimu nchini.. 2. Wazazi na mitizamo ya kizamani juu ya elimu na faida ya kusoma bila kuwa na msukumo kutoka kwenye mitizamo ya wazazi..
  6. C

    Fikra duni ndio chanzo cha kupoteza ndoto za kijana?

    Who is our really enemy?? Ignorance, poverty or egoism...
  7. C

    Fikra duni ndio chanzo cha kupoteza ndoto za kijana?

    Inafahamika kwamba wazazi hasa wa Kiafrika huwa na mitazamo juu ya maisha ya watoto wao kuanzia elimu mpaka makuzi ya watoto wao ndio hutoa taswira ya maisha ya mtoto. Lakini kwa upande mwingine wazazi wengi wa Kiafrika hasa waliyokulia kwenye nyakati za ukimaliza shule utapata kazi, hawaamini...
  8. C

    Ni kweli kuna uhaba wa Madaktari Hospitali ya Mwananyama?

    Leo nimetembelea hospital ya Mwananyama na kukuta foleni kubwa ya wagonjwa wakusubiri Madaktari. Kadhaa hii imekuwa ikitokea mara Kwa mara katika hospital hii. Swali ni kuwa ni kwel Kuna uhaba wa madaktari? Bado kuna upendeleo katika utoaji wa huduma katika hospital hii?
  9. C

    SoC02 Ufahamu wa nini cha kusoma bado ni mdogo kwa vijana wanaotarajia kujiunga na vyuo nchini

    Nini nikasome baada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari..? Inawezekana likawa swali ambalo linajirudia mara kwa mara kutoka kwa ndugu, marafiki hata wazazi wakitafuta kitu Bora Cha kusoma baada ya kuhitimu elimu ya sekondari. Kukosekana kwa elimu sahihi au kukosa muongozo mzuri wa kitu Cha...
  10. C

    SoC02 Je, Elimu inaendana na dira ya taifa?

    Asante kiongozi Kuna haja ya serikali kuliangalia hili kiumakini sana.
  11. C

    SoC02 Je, Elimu inaendana na dira ya taifa?

    Utangulizi. Zaidi ya miaka 50 Tanzania imekuwa ikipiga hatua katika kuhakikisha wananchi wake wanapata elimu iliyo Bora.Baada ya Tanganyika kupata Uhuru mwaka 1961 serikali ilianza kutengeneza mazingira ya kuwasaidia wananchi kutokomeza changamoto kuu tatu zilizokuwa zinalikabili TAIFA ambazo...
Back
Top Bottom