Recent content by change junior

  1. C

    Nasikia ni WASSIRA au PINDA!

    Bora apitishwe pinda au wasira ili upinzani upite bila kupingwa
  2. C

    Polisi wa Katavi adaiwa kushiriki njama za kumlawiti raia

    Hizo picha zilipigwa kwa madhumuni ya kumtisha mlalamikaji kama akisumbua kuwamalizia pesa waliokubaliana waanike hadharani kumtengenezea kashfa ya kulawitiwa......
  3. C

    Polisi wa Katavi adaiwa kushiriki njama za kumlawiti raia

    Yaani kaka hii kesi haieleweki inaonekana jamaa walipanga njama ya kujipatia pesa na mlalamikaji nae akapanga njama Kwa mtindo mwingine ila huyu askari atavuliwa gwanda bila shaka......kupeleka mahakamani inakuwa kizungumkuti
  4. C

    Polisi wa Katavi adaiwa kushiriki njama za kumlawiti raia

    Kwanza huyo Polisi hakai Kawajende ila anakaa Kawajense. Halafu Polisi alishirikishwa yeye hakuwa mhusika mkuu na wahusika wakuu yaani aliyedai kulawitiwa na aliedaiwa kulawiti si wafanyabiashara ila wote ni mafundi wa band saw (yaani machine za kuchania mbao pale) katika kiwanda cha...
  5. C

    Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ikulu ndogo Dodoma

    Mtapigia kelele bure mtoa post kumbe yuko kazini na hiyo takataka alioandika kishalipwa na wazee wa pembe za ndovu
  6. C

    Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

    Bora pinda ateuliwe na ccm ili wapinzani tutumie nguvu kidogo kwenda ikulu
  7. C

    Mjumbe wa CCM ajiunga UKAWA

    Alhamdulillah.....
  8. C

    Vijana wengi wana hasira na Zitto Kabwe

    Zitto ni msaliti.....kasaliti kwa lipi? Mwenye ushahidi dhahiri juu usaliti wa Zitto aweke hapa
  9. C

    Ufisadi wa Pinda Vibali vya Sukari na Umeme wa Kinyerezi

    Akiwekwa pinda basi ujue upinzani utapita bila bugdha
  10. C

    Tundu Lissu kuundiwa Zengwe ili afukuzwe uanachama ndani ya CHADEMA

    Mmmmh haya yangu macho .........time will tell
  11. C

    KATAVI: Ofisi ya ACT yafungwa kisa uongozi washindwa kulipia pango

    Kuna taarifa ilitolewa na mwanajamvi kuwa ofisi za ACT katavi zimefungwa sababu ya ikosekanaji wa kodi ya pango......hizi taarifa hazina ukweli wowote baada kupata ithibati yenye uhalisia toka kwa Katibu mwenezi wa chama hicho bwana Godfrey Kapufi.....kapufi amedai kuwa ofisi za ACT zimehamishwa...
  12. C

    KATAVI: Ofisi ya ACT yafungwa kisa uongozi washindwa kulipia pango

    Act katavi haijafunga ofisi ila imehamisha ofisi zake......baada ya kuhojiwa viongozi Wa ACT katavi wamedai pale ofisi zilipokuwa ni jirani sana na ofisi ya chadema.......wameamua kuhama na kupanga maeneo ya mji wa zamani nyumba ambayo alikuwa anakaa Katibu mwenezi wa chadema........madai ya...
Back
Top Bottom