Recent content by change formula

  1. change formula

    JamiiForums Tanzania Kila siku nasema Lissu anawategemea watu wasionekana wala kumuunga mkono wanamjaza upepo upendo zero

    Ila wanaoiba pesa za kodi! Kuhujumu miradi ya wananchi,kutafuna fedha za mashirika ya umma,kusafiri safari za nje zisizokuwa na tija,wanaoteka,kutesa,na kuua raia hao wote ni wanjanja na wenye akili.
  2. change formula

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna jambo analolifanya Tundu Lissu ambalo Maalim Seif Shariff Hamad hakulifanya katika kusaka Dola na hakufanikiwa

    Hata manabii na mitume waliongelea na kufundisha watu waache ubaradhuli,wizi,uongo,ulaghai,ujambazi,tamaa za kujilimbikizia mali,kiburi,umalaya,ufiraji,ulevi, ushamba wa madaraka n.k Walihubiri viongozi watende haki na wasiwaonee wanao waongoza wala wasiibe mali zao, wala wasiwashitaki kwa...
  3. change formula

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Kivu kasikazini auliwa na M23

    Watusi ni kama ukimwi wakiingia sehemu lazima walete chokochoko! Kikwete ndio aliwaweza hao wajinga walikuwa wamejibanza uko maporini kanda ya ziwa! Msako uliopigwa ni balaa! Wakarudishwa kwao wakafanye vurugu zao uko kwenye kibanda chao walichojazana hata sehemu ya kulima hawana. Waki
  4. change formula

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Jakaya naona kajaribu kashindwa! Agenda ilikuwa kupokea na kujadili mambo yaliyotekelezwa kwenye ilani ila wajumbe wa mipango wanaacha hoja iliyo mezani wanakimbilia kuanzisha hoja nyingine katika ya agenda ambayo hawajamaliza kujadili!! Ndio unaona akili za ngozi nyeusi ni changamoto sana! Na...
  5. change formula

    JamiiForums Tanzania Aliyeanzisha usafiri wa mwendokasi sidhani kama alikuwa na mpango wa kuwatesa watanzania kiasi hiki

    Hatuna uwezo wowote wa kuendesha na kusimamia miradi mikubwa kwa ufanisi wapewe wazawa wa sekta binafsi wanaweza kufanya kazi angalau kwa ufanisi wa wastani wa kawaida!
  6. change formula

    JamiiForums Tanzania Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

    Katoliki siku hizi wamekuwa matapeli zaidi! Taasisi zao hasa za elimu zimekuwa dhoofu sana! Hio saut ni majengo mabovu kama magereza za uko DRC! Uwa najiuliza michango wanayokusanya kila kukicha wanapeleka wapi? Sasa hivi maaskofu wa catholic wamekuwa useless wako sambamba na watawala katika...
  7. change formula

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

    Watanzania asili ya unyonge imeletwa na makabila ya pwani ya bahari ya Hindi! Makabila ya mtwara, Lindi, Tanga, pwani, DSM,na Zanzibar ni jamii za watu wanyonge wanaona kuwa masikini au mtumwa ni haki yao! Ukiwa jasiri katikati ya hizo jamii wanakushangaa sana na kukuona kama mtu wa tofauti...
  8. change formula

    JamiiForums Tanzania Jambo Food Products Group chukueni maua yenu, kwa hakika mnastahili

    Uwezo wako wa kuchakata mambo ni mdogo sana! Wilaya ya temeke haina mgodi hata mmoja! Ila mapato yake ya ndani ya Halmashauri yalikuwa zaidi ya bilioni 49, nitajie Halmashauri ya manispaa uko kanda ya ziwa iliyokusanya zaidi ya hayo mapato! Nazungumzia mapato ya ndani ya Halmashauri za manispaa...
  9. change formula

    JamiiForums Tanzania Jambo Food Products Group chukueni maua yenu, kwa hakika mnastahili

    Tatizo unataka ligi tu! Wilaya nyingi za mikoa ya kanda ya ziwa zimezungukwa na vijiji! Kipato cha mwananchi mmoja mmoja ni kidogo sana watu uko wananuka umasikini! Purchase power yao ni ndogo mno! Mikoa yote ya kanda ya ziwa na Halmashauri zake hakuna sehemu yeyote iliyochangamka kama eneo la...
  10. change formula

    JamiiForums Tanzania Jambo Food Products Group chukueni maua yenu, kwa hakika mnastahili

    Vita ya nini? Biashara haipo hivyo! Unawaza kiswahili sana.
  11. change formula

    JamiiForums Tanzania Jambo Food Products Group chukueni maua yenu, kwa hakika mnastahili

    Usikaze fuvu nimezungumzia kibiashara! Kanda ya ziwa hakuna wilaya yenye mapato kuzidi mapato ya eneo la mbagala tu! Makusanyo ya wilaya ya temeke ndio mapato ya nchi ya Zanzibar!
  12. change formula

    JamiiForums Tanzania Jambo Food Products Group chukueni maua yenu, kwa hakika mnastahili

    Mauzo ya mo extra kwa eneo la mbagala tu! Ndio mauzo ya vinywaji vya hio jambo kanda yote ya ziwa! Kanda ya ziwa ni mikoa masikini mno! Biashara ina mzunguko mdogo hasa kwa vinywaji baridi vya makopo ya plastic! Soda za jambo hazina ubora zina radha ya juice zile za unga! Bidhaa nzuri ya jambo...
  13. change formula

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    Tatizo sio bodi! Ni changamoto ya watu walio kwenye bodi, mfano mtu kama masoud atasaidia nini mtu anatukana mpaka bidhaa za mdhamini wa club just imagine! Yanga itaendelea kuongoza na kuchukua ubingwa kwa muda mrefu! Simba ina viongozi ambao kila mtu anajiona mjuaji na mwisho lazima wafanye...
  14. change formula

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    Viongozi wa Simba wengi pale ni madalali! Hawawezi kuchukua maamuzi yeyote ya kinidhamu! Hapo kuna viongozi wako nyuma ya kibu denis wanamuongoza ili wapate pesa kwenye hizo sarakasi zake! Simba ili ipate mafanikio lazima bodi ya watu wajuaji iondoke na utumike mfumo kama wa yanga wa GSM...
  15. change formula

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji amemaliza kazi yake, hatuna cha kumdai zaidi ya sisi kupambana wenyewe kuwasaka wasaliti ndani ya timu

    Kwenye uongozi bado kuna tatizo! Mangungu, CPA Masoud, Mr Muba hao watu ni virusi watafanya juu chini Simba isifanikiwe! Wanachama wangefanya juu chini hao watu watolewe wasishiriki vikao vyovyote vya bodi ya wakurugenzi. Kwenye bechi la ufundi na wachezaji,matola Suleiman apewe shughuli...
Back
Top Bottom