Citizen B,
Thanks Kaka kwa hiki kipande! Inaonesha una maarifa na hii sekta. Naomba tumegee na part B. Na Kama hutojali na aina ya mikataba wanayoingia na Hawa underground
Naomba kujua sababu zinazoweza sababisha kupoteza hela Kama nitafanya kupitia kwa wasanii wengine chipukizi. Shida inakuwa wapi Kama utapata mtu mwenye kipaji ambacho kinaeza fikia viwango vya Alikiba au Diamond?
Mwenye uzoefu wa muziki wa bongo flavor especially ambaye anajua jinsi makampuni ya ku-promote muziki wa bongo flavor yanavyofanya kazi hasa na wasanii wanaoibukia.
Naomba uzoefu hatua kwa hatua kuanzia kwenye kuingia mikataba na Hawa wasanii Hadi kurekodi, kufanya promotion na split ya mapato...
Ndio maana siku hizi vijana hawataki kuoa. Na akioa ndoa haichukui round inavunjika. Bahati mbaya Sana ukikosea ukaoa mwanamke mbinafsi yaani hilo linakuwa zigo maisha yako yote. Na bahati mbaya ikukute Mambo ya kiuchumi yakayumba na mwanamke maisha yenu yote alijikita kwenye urembo wake...
Nimesoma hii thread mwanzo mwisho. Pia nimewahi kupambana Sana na CRDB kupata refunds zangu ....same same scenario Kama mtoa mada alivyozungumzia mwanzo. Kwa kweli ni shida na inachukua muda kupata refunds zako tofauti na benki zingine.
Tatizo nililoliona kwenye hii thread ni kwamba imevamiwa...
Hahahaha usijali mkuu ...nilishapata elimu ya kutosha offline, FAO wana andiko lao offline ambalo ni free of charge wameelezea vizuri Sana hizi issues za construction ya godowns Especially kwenye developing countries.
Ukubwa na gharama kwa kutumia brick and mortar. Sikupenda kwa kuanza na...
Usijipe uhalali kwamba wewe ndio mkamilifu. Na hiki ulichokiandika ni one sided story. Hatujasikia ya upande wa mzazi wako .......ana malalamiko gani juu yako, huenda nae amefanyiwa vitu visivyofurahisha japo ana makosa yake. Kama vile kutolewa lugha ya kebehi .....kwa sababu ulimpa pesa zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.