Nomba kusema kwa mara yakwanza namfaham kwa kiasi fulani kwani alishawahi kuwa boss wetu wakati huo mfupi nikiwa NBC Bank sio mzuri kiivo yani ninachokiona ni network jamani anajua kidogo kuhusu finance nandio alikuwa kwenye kitengo cha hazina, ila nilishambamba siku moja akidesa kwa jamaa mmoja...
Hahahaaaa duh hapo ndio utajua kuwa watu wanamahaba wahaangali uhalisia na wakati katka kupima mambo yani leo hii jpm kawa zaidi ya nyerere?, umesahau nyerere aliwabana watu hatakutoka ktk kijiji tu harusiwi? aaah mbona unalia lia tu na mahaba
yabidi kuelewa pia kuna watu wapo kwaajili yakujua nani anajua zaidia yake yani kama chki n balansi ndio maana unakuta mtu anauliza kitu najibu lipo hapo hapo,
Heshima kwenu wanajf, tumshukuru mungu wote kwakuwa wazima japo wengine wapo hai ila wanaumwa wangine mida michache pengine hatutakuwa nao, I nashangaza kila kukicha watalaam wanaongezeka namaanisha si wataalam wa fizikia au jeografikia hapana hawa ni wataalam wauchambuzi wamambo yaani toka...
Hii ni kali katika kile kinachodhaniwa kuwa ni mfano bora kwa wanasiasa wa Tanzania kuwapa tuzo ili kuongeza ufanisi basi hili siihivyo bali nimegundulika kuwa ni jambo la kuundwa tu tena fasta fasta kama vijana wa mjini wasemavyo, chanzo cha habari hii kime thibitisha kuwa tuzo waliopewa MH...
Dah, gari nzuri sana, mi nauza engine kama hiyo atakayenunua gari anipm nimuuzie spare kabisa, ilala wana bei hatari. Japo mitsubishi huwa haziharibiki hovyo kama unafanya service ya uhakika lakini kujiandaa muhimu.
Engine imefunguliwa kwenye gari nzima inayotembea. Kwakuwa ni model ya umeme, crankshaft sensor na vgt valve hazipatikani. Kila kitu kingine kizima. Spare zote zilizobaki zinaingiliana na 4D56 ya kawaida.
Bei ni 1,500,000
Engine ipo jeti lumo- Dar Es Salaam
Kama unahitaji spare yoyote ktk engine...
Mkuu ukiishi kwa chuki na watu namna hii hufiki popote. Hapa Inatangazwa nyumba ya kupanga wewe unaleta personal attacks. Kwanini usingeanzisha uzi wako na kusema unayotaka. Huoni kama una deter prospective wateja. By the way mimi pia nimeshaenda kwa jamaa. Ni mtu smart sana na hana chembe hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.