Basi haya bila kutafunamaneno, police inapokea maelekezo toka kwa Rais, ambae ss ni mwenyekiti wa CCM, na hii ni hatari kwenye mustakabali wa maisha na mfumo wa vyamavingi.
Naamini kwamba wanaombeza Zito wanathubutu kuwafanya Watanzania Mazumbukuku kwa masilahi yao na mabwanazao. Ila ukweli wanauona. Nawanasihi kwamba wasijelalama siku CCM itakapopigwa chini, kwan mwisho wa dhuluma haukombali. Hataujinganao unamwisho. Zito amejaribu kuwekawazi wenye akili wameelewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.