Habari zenu wana jamii wenzangu Natafuta kazi nimemaliza masomo ya usafirishaji wa bahari na Uongozi wa Bandari Pia naweza kufanya kazi za clearing and forwarding. 0653935414 Namba yangu ya simu. Akhsante
Tunasubiri Leo Dirisha la udahili kupitia TCU lifunguliwe. Wakati huohuo wale wa Nacte hakuna kipya mpaka sasa.
Kulikoni?????[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.