Hii sijui niite ngoma droo au laa huyu binti nilikuwa natoka na rafiki yake nikiwa Dar na alikuwa anajua vizuri nilipotezana nao baada ya mimi kuja mkoani Nyanda za Juu kusini siku moja nipo na washikaji tunapata moja mbili Tatu nikamwona nilivyomuuliza unanikumbuka akasema yaa wewe si pita...
Assalam Aleykum wana jf
Kuna magonjwa hatari kama Kansa, Kisukari, na presha. Haya magonjwa yanachomoa watu balaa. Sasa kama dawa za presha utakuta dozi kwa mwezi inafika elfu 60. Mimi mama alipata stroke akaandikiwa dawa za presha toka, 2012, yaani ameambiwa ameze mpaka afe. Dawa zake kwa mwez...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.