Recent content by CHAMVIGA

  1. CHAMVIGA

    Uchaguzi 2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

    Wakuu salaam. Naomba msaada wa kinachoendelea kibamba. Nani alipaswa kuchukua form na nani amechukua form na what is the way forward? Jimbo lishaenda kwenye chama chakavu?
  2. CHAMVIGA

    Watanzania tuache kutaharuki: Nchi yetu ina uzoefu wa mema na machungu

    Acha tu tutaharuki!!!! Mzee mwanakijiji kwa mafumbo!!
  3. CHAMVIGA

    Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

    umbemkuu. Habari za masiku kaka. Saiv tunaimba wimbo mmoja jamaa
  4. CHAMVIGA

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Hu Huku ni kuhamisha topic sasa. Km n ubaguzi ndio topic fungua uzi utualike tuje tujadiliane kuhusu hili
  5. CHAMVIGA

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Jambo hili la kuvunjwa msikiti nila kushangazwa sana. Na kuwahamisha walimu tena wale walio katika kamati ya ujenzi ambao kimsingi ndio walezi wakuu wa waislamu katika chuo hicho ni ajabu nyingine kubwa sana. kwa wale msiojua jambo hili lilivyo naomba niwajuze kwa ufupi. chuo kikuu cha Dodoma...
  6. CHAMVIGA

    Tanzia: Mwanafunzi wa UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati wa Tendo pendwa

    Daah huyu kapata mtihani na mwisho mbaya sana. Mwenyezi Mungu amueke anapostahili
  7. CHAMVIGA

    Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

    TUTAOBA MENGI MIAKA HII MITANO. SIJUI JAMAA AMEKOSEWA NN NA WAVAA KANZU? INAONEKANA WASOMI HUMU NCHINI NI WALE WAVAA MASANAMU SHINGONI TU.
  8. CHAMVIGA

    Television zote zimepuuza maneno ya Tundu Lissu

    tundulisu ni kijana mzuri wa kupangua hoja za mafisadi labda watumie mkono wa chuma.
  9. CHAMVIGA

    Television zote zimepuuza maneno ya Tundu Lissu

    C USEME TU HAWAJRIPOTI KWASABABU YA KUOGOPA MKUU WA KAYA?
  10. CHAMVIGA

    Haya ndio majina ya wakuu wa wilaya wa Kikwete waliotemwa na Magufuli

    WEWE KIJANA ISITUNGE MAMBO YA UNGO KUHALALISHA UOVU UNAOTOKEA HAPA NCHINI. KEMEA ILI KUOKOA AMANI YA TAIFA HILI. AKHSANTE.
  11. CHAMVIGA

    Haya ndio majina ya wakuu wa wilaya wa Kikwete waliotemwa na Magufuli

    KAMA KUNA WATU MNAFIKIRI KUWA UISLAMU UTATEWA NA WANASIAS ACHENI MAWAZO HAYO. WANASIASA WANAOCHAGULIWA HASA AKIWA MUISLAMU ATAJITAHIDI KUMRIDHISHA BOSI WAKE NA SISI KUUSIMAMIA UISLAM. HAINISUMBUI AKILI SO FAR HATA AKIWA MUISLAM HAENDI KUTETETA QURUAN WALA SUNA ZA MTUME WETU MTUKUFU. KUNA WAZIRI...
  12. CHAMVIGA

    Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

    Magufuli is a failure from when he was a minister and now we are starving because of his incompetent.
  13. CHAMVIGA

    Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

    Hatimae kafukuzwa jamani.
Back
Top Bottom