Habar ya swaumu wakulungwa
Baada ya salamu naomba tujuzane ulikuwa ukihisi nini au kufikiria nini baada ya kukubaliwa kwa mara ya kwanza na mwanamke au mwanaume uliyekuwa unamfukuzia siku nyingi sana
Pcha haihusiani na topic
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama mavituzi hanipi!!
Amekuwa gogo au tofali af kamchepuko kana vitu balaa kwa nn nisiende kwa kamchepuko nikale vitu vizur mana ata uwanjan mchezaji akichoka anaekwa pemben mwingine anachkua nafas yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaopinga ugaidi ndio hao hao wanaoutengeneza ugaidi ili tu kusambaratisha kitu kinachowakwamisha ktk mambo yao kwa faida yao.
Na maeneo mengi yenye upinzani mkubwa na mabeberu wa magharibi yana rasilimali,, sasa ili mabeberu wapate izo rasilimali ndo wanakuja na propaganda ya ugaidi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.