Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuhusina na wale Wawekezaji ambao incase unaplot mahali wanakuja kujenga kama apartment.
Au office kwaanae jua anisaidie plz coz tuna eneo lipo town maeneo ya Ilala Bungoni.
Jamni naomba kujua maagent Bongo wanaohusika na ajira za nje ambazo zinaviza sponsorship £skilled labour na unskilled labour eg vegetable picker, auto technitian, driver, hotel, casino.
Kwenye office yangu imekua kero magari makubwa yanapaki vibaya sana mpka magari mengine yanashindwa kupita barabarani yni nikero kubwa gari linakaa kama ni yard karibuni mwezi
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Naomba kwa anaejua ambao wanahusika na mambo ya barabarani ukiwa umepark vibaya, umeegesha gari vibaya naomba msaada au office ipo maeneo gani au namba za simu za watu wanaofanya uko nakipengele kikubwa mno sijui ni yono/tra
Nina carwash naitaji mtu ambaye atakua tayari kutafuta hata contract katika kampuni yeyote tuoshe magari yao ikiwa Kama truck kuanzia hata 50 kuendelea.
Semi (aina Yoyote iwe body au mkeka)
Kipisi(mende,tandamu au single)
Pooling aina yoyote
Tank za mafuta kusafishwa chemba vizuri kabisa
Canter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.