Recent content by chameleon

 1. chameleon

  Nisamehewe kwa kusapoti kufukuzwa kwa vijana JKT

  Wanaandamana jeshini mnawatete waasi hawa, vitani watakataa kusonga mbele na watachagua kurudi nyuma . Hawafai kwa kazi ya uanajeshi labda wapewe ajira za kisiasa.
 2. chameleon

  Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

  Vita hivyo vilidumu kuanzia mwaka 1905 hadi 1907. Hivi ni vita vilivyopiganwa na Watanganyika dhidi ya wakoloni wa Kijerumani wakipinga ukandamizwaji wa haki na uhuru wa kujiamulia mambo yao. Historia inatueleza kuwa vita hiyo mtemi wa wanajamii Kinjekitile Ngwale. Huyu alikua kiongozi shujaa...
 3. chameleon

  Bar punguzeni volume ya mziki, mnafukuza wateja

  Ni changalamkaa kwa kweli maana lazima utaongea kwa kupayuka ili msikizane na kuwasiliana kwa simu ndio balaa.
 4. chameleon

  Ushauri kwa Serikali: Naomba isiwapangie bei ya kuuza cement,wachwe watumie fursa

  Serikali ina haki ya kumlinda mlaji kwa staili ambayo haimuumizi mzalishaji wa bidhaa, msambazaji wala muuzaji. Ukiona bei ya bidhaa inapanda kiholela au ulanguzi wa bidhaa basi ni dhahiri kuna tatizo la kimfumo katika uchumi wa nchi husika. Busara zaidi za wachumi wetu zitumike kuishauri...
 5. chameleon

  Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

  Mbona mnahamisha mada kutoka kwenye kiini cha tatizo na kulazimishia chuki kwa nafsi za watu? Bila shaka kosa lipo na adhabu ipo kwa mujibu wa kanuni zilizowekwa na serikali yetu tukufu. Ni bahati nzuri ada ya sheria ni msumeno hukata pande zote. This time imekata kwa kipenzi cha watu hususani...
 6. chameleon

  Ubaguzi tunaofanyiwa na Wahindi hapa Tanzania

  Bure mnawaogopa hao wahindi mbona ni wa kawaida tu . Hawana ubaguzi wowote tatizo ni tamaduni zetu. Mabinti wa Kihindi nao wanaona kama sisi tunawabagua, nadra kudate nao wala kuongea nao "nor approach" au wangapi wametaka kuowa wakakataliwa?
 7. chameleon

  Hivi haya mabanda ya Machinga kila kona Dar wameshindwa kuyadhibiti?

  Shida sio WAMACHINGA WASIFANYE BIASHARA BALI MABANDA YAJENGWE KWA UTARATIBU UNAOHESHIMU MAZINGIRA, BARABARA NA WATEMBEA KWA MIGUU. Idadi ya wateja (walaji) ni ile ile hata wakijenga mabanda mengi kama mchwa
 8. chameleon

  Ninyi Wachungaji manosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

  Natamani kujua kwanini watu wasiotoa sadaka ipasavyo wanapinga sana taratibu za utoaji sadaka. Na kwanini wale wanatoa sadaka hawavunjiki moyo na wanafanikiwa zaidi kimaisha?
 9. chameleon

  Rais Trump ajibu Lissu kiakili

  Write your reply...Hukumu ya juu kabisa duniani atoayo "jaji" ni kifo.. madaktari nao hutibu wagonjwa lakini kuponya ni kazi yake Mungu . Mungu ndiye mwamuzi na mamlaka yake haihojiwi kwani Yeye ni Alfa na Onega.
 10. chameleon

  Yaliyojiri kikao cha Rais Magufuli na Mawaziri, Makatibu Wakuu, MaRCs, MaRAS na TRA

  Uchumi ungekua mzuri tusingeshindwa kufanya sherehe kuazimisha miaka 57 ya Uhuru. Hiyo miradi ya maendeleo haitaisha ikiwa taifa lipo hai.
 11. chameleon

  Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

  Nahumu:3.1 Ole wake mji wa damu! Umejaa mambo ya uongo na unyang'anyi; mateka hayaondoki. Nahumu:3.2 Kelele za mjeledi, kelele za magurudumu yafanyayo kishindo; na farasi wenye kupara-para, na magari ya vita yenye kuruka-ruka; Nahumu:3.5 Tazama, mimi ni juu yako, asema Bwana wa majeshi; nami...
 12. chameleon

  Hali ya zao la Korosho sokoni

  Hill ni fundisho kwa watawala wetu. Bei inapopanda wakajisifia kuwa wamepandisha wao (na sio hali ya soko ) , wajiandae pia kujishushua bei inaposhuka.
 13. chameleon

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  MTU kuwa bubu ni ulemavu lakini shirika la umma kushindwa kujibu tuhuma ni kukiri udhaifu na uzembe!
Top Bottom