1st semester inaweza ikawa 74,000 na second semester 59,000...uhakika zaidi nitakujuza,msipate wasiwas tupo kaka zenu kuwasaidia kuhusu hilo la kupata rum,uongoz wa DUCE wana ushirikiano sana hasa kuhusu wagen kupata hostel iwe ya chuo au private karibuni sana.
suala la hostel broo zipo hostel kama mbagala,mabibo na Duce penyewe pamoja na hostel za watu binafsi kwa nje,mimi mwenyewe sikuwa na chumba na sikupata kabsa lakin nilikaa wiki watu weng tulipata accomodation.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi MUSOMA VIJIJINI,natafuta mwalimu wa kubadilishana nae anayefanya kaz katika mikoa ya NJOMBE au IRINGA yeye aje musoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.