Recent content by chambachamba

  1. chambachamba

    Watumishi KCMC wahojiwa na Polisi kwa kudai Posho zao mtandaoni

    Msemaji anaeleza tofauti na case , anazungumzia zaidi jinai kuliko madai ya walalamikaji
  2. chambachamba

    Wizara ya afya iwaangalie interns kwenye malipo ya posho zao

    Lakini mkuu hata kama ni uvumilivu , posho ya mwezi wa 4 mpaka tarehe 24 mwezi wa 5 hawajapewa? Just imagine intern ndio mtu wa kwanza kupambana na corona , then ndio ward manager muda wote yuko wodini anaangaika Sent using Jamii Forums mobile app
  3. chambachamba

    Viongozi wa Serikali na Wanachuo wa Chuo Kikuu Bugando wafukuzwa Chuo

    Wakiwa wanajitambulisha wanajitambulisha kama Catholic university Ila kiukweli ukiangalia uhalisia wa hayo madai ya wanafunzi unaona kabisa hapo ile jina la Catholic university linatumika vibaya Tunafahamu education is the service and not a business ila hapo kwa hizo garama zisizo na maelezo...
  4. chambachamba

    Viongozi wa Serikali na Wanachuo wa Chuo Kikuu Bugando wafukuzwa Chuo

    Utakua na roho nyepesi kama utakua na mtoto anasoma chuo kikuu kama hiki tajwa hapo juu
  5. chambachamba

    Vuta taswira kama dini zisingekuwepo hali ingekuwaje

    Mie naona tungezifanya sheria ni kama dini na tungeziabudu basi amani ingekuepo
  6. chambachamba

    Vuta taswira kama dini zisingekuwepo hali ingekuwaje

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. chambachamba

    Vuta taswira kama dini zisingekuwepo hali ingekuwaje

    Wanaoisoma dini wenyewe nahic kuna secret flani wanafundishwa juu ya dini na wana ufahamu ukweli fuatilia bifu ya makonda na gwajima pale ndio utaona dhahili kua kumbe some time dini n utapel
  8. chambachamba

    Vuta taswira kama dini zisingekuwepo hali ingekuwaje

    Wazungu walituletea dini ili kututia woga na watutawale vizuri, sasa walipoondoka wakaona wamefanikisha na wakagundua kumbe dini pia inaweza kua ni aina nyingine ya kujipatie kipato
  9. chambachamba

    Vuta taswira kama dini zisingekuwepo hali ingekuwaje

    Hawa jamaa ni ma businessmen kinoma, ukitaka kuamini angalia ada za vyuo na shule za kidini huwa haviendani na huduma wanazozitoa
Back
Top Bottom