chambachamba
Member
- Jun 4, 2018
- 18
- 11
.
Haiko sawa.. Kuna baadhi ya Taasisi interns ndo Kila kitu!! Yaani inafika mahala masaa yako ya kazi unayofanya ni zaidi ya utumishi..Tofautisha interns na waajiriwa rasmi kwenye vipaumbele...kimsingi hawawezi kuanza kuwalipa interns halafu staff waajiriwa wasubiri..Lazima waanze kwanza na waajiriwa rasmi tofauti na nyie ambao mnafanya kazi kwa kipindi cha muda maalum
Ila cha kukupa moyo ni kwamba, malipo yenu mtalipwa
NB; SIJADHARAU MCHANGO WENU, MNAPIGA KAZI SANA, ILA UVUMILIVU NI KEY.
Sent using Jamii Forums mobile app