Recent content by chamba matwe

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mshahara kada ya Afya

    Subiri mshahara wako utajua kupitia salary group
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jino lako linakusumbua!

    Just consult dentists
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

    Huna lolote ulisikia ukanywea;siku nyingine hata mkeo wata........shauri yako
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

    Kama mkeo ni wa bongo au pwani;muulize vizuri amekufanyizia huyo;achana naro,Kaoe Musoma
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

    Step by step Sema ulisikia ukaogopa;huna maana bora ungekaa kimya;Yaani nyumba yote msisikie,au walikutuliza ukawa mpole;sasa unatueleza tufanyeje?NENDA POLISI
  6. C

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Benki nyingi siku hizi;kama vp hama
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars afungishwa virago

    Acha tuwe tunafungwa ili tuzidi kuona makocha wa kigeni wakiletwa na kufukuzwa;maana ndo kazi tunayoweza
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

    Kila kukicha kufungwa tu;Tutabaki washindi kwa kufukuza makocha
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa nyanya, vitunguu, hoho, nk Dar-Mbeya road ni wezi

    Stream line Hutaki acha kununua;nunu vya kilo ambavyo unaviona kwenye mizani;hizo ndo escrow zao
  10. C

    JamiiForums Tanzania Navunja mji kwasababu mke wangu ana matumizi makubwa ya pesa

    Fukuza liende kenge nyingi hazina walaji
  11. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

    Awe anawahi kwenda kuchukua dozi.Au vinginevyo asiwe bahili
  12. C

    JamiiForums Tanzania Simu niibiwe mimi hasira zikushike wewe na kumponda mwizi kwa mawe na kumwagia mafuta na kumchoma.

    Kama unawaonea wezi huruma basi ukiibiwa kauka,omba MUNGU atakupa vingine.Wezi ni wengi sana kosa ni kukamatwa
  13. C

    JamiiForums Tanzania Simu niibiwe mimi hasira zikushike wewe na kumponda mwizi kwa mawe na kumwagia mafuta na kumchoma.

    Waache wizi ndo dawa,ni bora wachomwe kuliko kupelekwa Segerea ambapo wataigharimu serikali kuwahudumia;wapigwe moto
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ukifanya huu uzembe, hutopiga kura Oktoba hata kama unacho kitambulisho

    Uchaguzi ni utaratibu wa kidemokrasia tu;lakini washindi wanajulikana tu
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wizi wa simu mabasi ya Mikoani

    Cha msingi hapo ni kutomuamini mtu usiyemfahamu vizuri
Back
Top Bottom