Recent content by Chalukwa chasakala

  1. C

    JamiiForums Tanzania KAIMU KATIBU MKUU CWT:Barua toka UTUMISHI kusitisha OPRAS Nashangaa DCnaDEO OPRASx3

    Opras ni uonevu kwa watumishi wa ngazi ya chini. Kwani wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanaochaguliwa wanakuwa wamejaza opras wapi? Wakuu wa bodi za mashirika ya umma, wakurugenzi n.k. wamejaza wapi opras kupata nafasi hizo? Uliza walimu wanajaza kila wakati na hakuna ongezeko la mshahara wala...
  2. C

    JamiiForums Tanzania 15% ya Bodi ya Mikopo; Sheria inasemaje?

    Ubabe ndo umetumika sio sheria.
  3. C

    JamiiForums Tanzania 15% ya Bodi ya Mikopo; Sheria inasemaje?

    Wakati naanza chuo nilijaza fomu ya mkataba wa kukatwa asilimia 8 ya mshahara. Kama nimekatwa asilimia 15 mwezi huu je hizo asilimia zilizoongezeka nilizisaini wapi? Kama zile fomu za bodi ni mkataba je ongezeko la asilimia 15 nimekubaliana na bodi lini? Kinachotumika hapa ni ubabe.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Value Renention Fees ni wizi wa dhahiri wa Bodi ya Mikopo

    Hakuna ongezeko la mshahara zaidi ya makato kuongezeka, watu wataacha kazi.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Bloomberg: Kampuni za Uturuki na Ureno zashinda tenda ya ujenzi km 400 reli ya kati

    Itakapokamilika itasaidia SANA.
Back
Top Bottom