Recent content by Chalaji Company Limited

  1. Chalaji Company Limited

    Ugonjwa huu umenimalizia tikiti nifanye nini kuepuka nao

    Je ukichunguza huweza kuona tobo? je baada ya kuanza kuoza huoza lote au vinginevyo? kwa msaada zaidi tembelea hapa CHALAJI COMPANY LIMITED: UFAHAMU UGONJWA WA KUOZA VITAKO(BLOSSOM END ROT) KWA MATIKITI NA NYANYA.
  2. Chalaji Company Limited

    Jinsi ya kufuga kwa faida na kuokoa gharama ya chakula cha mifugo

    Lengo ni moja nalo ni wale wasio na utaalamu waelimishwe na inapotokea msaada zaidi unahitajika basi tunasaidiana. One nation,same goals......tusamehe kama tumekuudhi kwani lengo letu ni upendo kisha maendeleo ya watu wetu na tanzania kwa ujumla.
  3. Chalaji Company Limited

    Jinsi ya kufuga kwa faida na kuokoa gharama ya chakula cha mifugo

    kama kuna watu wanahitaji ikiwa ni mmoja mmoja au kundi tafadhali tupigie kupitia 0655333432 punguza gharama na uongeze faida katika ufugaji na chalaji company limited
  4. Chalaji Company Limited

    Mbolea gani nzuri kati ya NPK na CAN?

    Ni kweli kabisa,unapotumia DAP ni vizuri zaidi kwa upande wa kupandia.
  5. Chalaji Company Limited

    Soko la bidhaa za Kilimo

    Wengi tunakuwa na malengo mazuri ya kimaendeleo hasa ya kulima mazao fulani, lakini tunakwamishwa na shughuli mbadala ambazo nyingi ya hizo ni zile za ofisini..kwa kuona hilo CHALAJI COMPANY LIMITED imekusogezea huduma karibu zaidi...sasa unaweza ukasimamiwa shughuli zako kwa gharama ndogo na...
  6. Chalaji Company Limited

    Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

    umesema ukweli mtupu,sema vijana wengi wamejiwekea akili ya kuajiliwa na kukwepa shughuli nyingine za maendeleo kama kilimo kwa kisingizio cha mtaji. hapohapo huyo kijana ana iphone x ya mil 1.2....muda umefika wa vijana kujitafakali upya kabisa.
  7. Chalaji Company Limited

    Nahitaji vijana tufanye kilimo cha Uyoga Dar es Salaam

    tunatoa mafunzo na ushauri juu ya masuala yote yahusuyo kilimo na masoko kwa gharama nafuu sana. pia ili kupata ujuzi juu ya kilimo cha uyoga soma hapa CHALAJI COMPANY LIMITED: Search results for uyoga.
Back
Top Bottom