Recent content by CHAKWERA

  1. C

    GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Freeman Mbowe ndiye kamfanya Sabaya ajione ni mungu mdogo. Alitakiwa ashughulike naye hadi sasa awe kamumaliza lakini aliendelea kumchekelea mpaka hali imekuwa hivyo ilivyo.
  2. C

    GE2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

    Hata mie nna wasiwasi kama kweli aliachwa salama! Wengine nasikia walisingiziwa ujambazi na kuuawa kama vibaka.
  3. C

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dkt. Ave Maria Semakafu

    Huyo ni mwanasisiem kindakindaki, usijidanganye namfahamu vema mno.
  4. C

    Waraka kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Njombe, Bibi Rose Mayemba kwenda kwa Askofu Mwamakula

    Upole umezidi ndiyo maana watu wanafanyiana ushenzi baada ya kudhulumiana na mwisho wanawasingizia wapinzani wao Wa kisiasa. Kwani simu ya mtuhumiwa inaonyesha nani mtu Wa mwisho kuwasiliana naye na alikuwa eneo gani?
  5. C

    Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

    Wakati mwingine jitahidi kuficha upumbavu wako. Lisu ndiye aliwatuma kuvunja mkataba kinyume na mlivyokubaliana? Kila madudu yenu mnasingizia Lisu, mtasema mengi ila hamtudanganyi tena!
  6. C

    Tunduma hatutaki maji Yenu! kura zetu ni chadema!

    Tunduma imekuwa chini ya upinzani kwa miaka kumi tu, je miaka hiyo mingine hamsini mllikuwa wapi kuwapelekea maji? Kuna mbunge alikuwa naibu Waziri kabisa lakini hamkupeleka maji. CCM ni wapumbavu sana na Sera zenu.
  7. C

    GE2020 Ndugu Polepole kitendo cha kusema hadharani kuwa Lissu "Siyo mwenzetu" na umepanga kumuanika siku saba za mwisho ni upuuzi mwingine katika siasa!

    Ulitaka akuhamishe wewe? Kesho Lissu atawajibu na huyo chizi wenu Polepole. Tanzania ni ya Watanzania wote.
  8. C

    GE2020 Ukosefu wa hela ya kupiga kampeni wageuka neema kwa vyama vikubwa nchini

    Nakupa 100% Mkuu, haya yoote uliyoorodhesha na mwisho hilo la Amsterdam umemaliza kila kitu. Huo ndiyo ukweli wenyewe na bado mengi yapo njiani. Hii ni sehemu ndogo tu.
  9. C

    GE2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

    Hiyo 20% unayoiimba kila siku umeijuaje? Au ndivyo mmpanga huko Tumeccm? We are watching.
  10. C

    GE2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

    Hata kura za Fb Magu haongozi acha kudanganya hapa. Mwanzo mlisema kuwa Lisu anaongoza Fb na JF lakini hivi sasa mmekuja na hoja kuwa Lisu anaongoza JF ila Fb anaongoza Magu. Fb watumiaji wengi ni vijana na mgombea wenu hana ushawishi kabisa kwa vijana kutokana na Sera sake mbovu za elimu...
Back
Top Bottom