Recent content by Chaka boy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Unafki wa karne wa Zitto Kabwe

    zzk yupo sahihi Angeungana na ukawa walio mkataa watu wengi zaidi wangemshangaa kwa kujipendekeza kwa walio mkataa,
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya uteuzi wa ubunge wa Viti maalum CHADEMA/UKAWA

    Sina hakika lakini kwa nijuavyo mimi wateule wa viti maalumu kwa vyama vyote na kwakila mkoa tayari ulisha fanyika,labda kwakua majina bado hayajapelekwa tume wanaweza kufanya hivyo ila busara itumike ili amani itawale ndani ya chama kwa wateule ndani ya chama chao
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lowassa Geita Jimbo la Busanda, Wazee wamsimika Lowassa Uchifu wa Wasukuma

    Hatariii au ni malori yamesombelea watu.kama yule mwenzake wa kijani?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ujio wa TB. Joshua kwa mualiko wa CCM una maana gani?

    kama huyo tb joshua nimganga wa kienyeji yani muabudu mizimu anaweza kubadilisha kile alichokisema awali kama nikweli aliwahi kusema juu ya lowasa,lakini kama nimtumishi wa mungu hakuna kitakacho badilika kwakua anacho kitaka mungu hakibadiliki,
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa mkoa wa Mara (Serengeti,Tarime)

    Na bado wanatwambia watashinda,labda na njaa,kura za lowasa hakika zitawaumbua tar 25.10.2015
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mama R. Lowassa akiwa Babati Mjini

    Piga kazi mama.usipo msaidia mumeo ukamsaidie nani mwingine.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sijui nimpe neno gani huyu mmiliki wa magazeti!

    Shigongo Dhambi ulio itenda mungu hata kusamehe wala wanaccm wenye akili timamu hawata kusamehe na watz kwaujumla.ila kwatabia ya lowasa atakusamehe bure na kwahili umemuongezea kura kutoka kwetu wana ccm,
  8. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli suala la elimu Lowassa kasema bure hatutaki mikopo

    Twendeni kwenye mikutano ya kampeni,lowasa anasema elimu bure kuanzia chekechea hadi chuo kikuu na itaanza ndani ya siku 100 kama kura zikitosha
  9. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Viwanja vya Polisi Himo: Mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA jimbo la Vunjo

    Dhambi ile ile walio itenda Kanu ya kenya ikawahukumu wakapotea kwenye ramani ya siasa za kenye inaelekea kuwapoteza ccm pia kwenye ramani ya tz
  10. C

    JamiiForums Tanzania Exclusive Interview with UKAWA's Edward Lowassa: I think I can be a President

    Hivi ccm sindio tulikua haturuhusu wagombea wa urais kushiriki midahalo?mwaka 2005 kama Sijasahau mkamtuma dr ngasongwa badala ya mgombea.Yani ukawa mkimpeleka mgombea wenu ntawashangaa
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hapa kazi tuu: mwaka wa tabu

    Tunahitaji kuijenga upya ccm tuirudishe kwenye maadili,kwahiyo kard zetu hatuwapi ila kura tutampa lowasa,kiongozi tulio mkubali toka akiwa huku,
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wana jimbo la Geita mmefanya makosa kumteua Msukuma

    Huyo si ndo joseph musukuma ambae ndo mwenyekiti wa ccm mkoa wa geita?au ni musuma mwingine,
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Lowassa akisimamia mradi wa maji ziwa Victoria Mwanza-Shinyanga

    Pasipo shaka yeyote lowasa anaweza.
  14. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Daa kiukweli huyu lowasa sio mgombea wa ukawa tu.bali nimgombea wa watanzania wooote,
  15. C

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    Ingekua bomba sana,hata hivyo huko tuendapo nadhani hata sisi itakua hivyo
Back
Top Bottom